Sijui tutaishia wapi na huyu mke wa mtu

Sijui tutaishia wapi na huyu mke wa mtu

Kuna mtu alipigwa msale kwa tabia Kama hizo, kuwa makini na mke wa mtu.
 
Mke wa mtu ukila...tafuta dem chap akae hapo kwako ili uyo mwanamke awe na wivu...ataacha kukusumbua
 
Vijana wa skuizi matako kweli Sasa hapo unaona huyo manzi anakupenda au anataka upakwe FUTA?
 
Yan stori yote hii unataka tukushauri kuhusu mke wa mtu ...achana nae na umchane live kuwa mpunguze mazoea ya kijinga
 
Siku ukikamatwa utanyonyeshwa mjegeje hutaamini.
 
Hapa kuna mdada tia maji Tia maji nasikia mme wake alisema siku amkute mtu na mkewe, watagawana nyumba za serikali

Be careful
 
Si umkulee piga pombe mwanzishie kimasihara akitiki kula akigoma singizia pombe
 
Mpaka sasa hivi tigo yako kuwa salama ni jambo la kushangaza sana
 
Hapa kuna mdada tia maji Tia maji nasikia mme wake alisema siku amkute mtu na mkewe, watagawana nyumba za serikali

Be careful
dah hatar,leo tanesco wamesaidia kdg,umeme haupo hana ksngzio cha kufka kwangu..
sjui ntaanzaj kumpga marufuku kuingia kwangu make kshazoea tyr..kuhusu kuvnja mazoea kaz n rahs sana japo ni mwanamke ambae nlikua namwelew kabla ajaletwa apa hili ntajtahd kupotezea..na knachonfany niwe na maswal meng ni kwamb sabu nlionyesha namtaka kabla hajaolew ila alpoolewa mi nkamkaushia anatak kutngneza mazngra tuendlee au niendlee mi kutngneza mazngra ya mi kuendlea kumtaka?

hii kuja gheto kwangu si sawa datz y mwanzo alkua anaogopa ila why saiv anaingia..
 
Habari za wakati huu,

Nipo kwenye wakati ambao unanfanya niwe na maswali mengi dhahania,japo uhalisia wa mambo nauona.

Nlipopanga kuna jamaa ameoa mwanamke ambae nlikua nafahamian nae ni mwanamke ambae nlijua ni mke wa mtu kumbe hakua mke wa mtu alikua single, totally single mother hadi alipokuja kuchkuliwa na huyu jamaa ambae tmepanga nae ndo nkagundua kuwa hakua mke wa mtu.

Mwanzoni alianza kunchangamkia mi nkaona ni mtu si mgeni kwangu nkaona fresh japo jamaa nliona anakasrka ila nahs badae aliona jins sina nia mbaya na mke wake aka take easy adi salamu akawa ananpa na story za hapa na pale.

Mimi napenda kucheza mpira wa miguu,mara moja moja nkird nmeumia alkua ni mtu wa kunionea huruma na kunishaur nscheze mpira tena..Alionyesha kujali sana kila nlipokuwa na tatzo.

Kuna muda alinisaidia kuosha vyombo kukata kata mboga za majani mara moja moja hata kuniletea chakula.

Kuna kipindi nliona hii itakua soo maana ukaribu ulizd na mambo meng ya maish yake alkua aknieleza

Vitu vingi alnisimulia kuhusu maisha ake ya mahusiano,tangu mwanaume wa kwanza alivyomtoa bikra had huyu alonaye,kila alponiona alniomb tkakae nje penye upepo tpge story au akniona nipo nje atakuja story znaendlea..

Nilivyoona amezdisha mazoea nkapunguza kabsa ukarbu hadi salamu nkawa simsalimii muda mwngne,no extra words or jokes nalala mbele..

One day,nkiwa nmechill gheto nliskia naitw drshan,nlivyoitika akaniomba vyombo vyangu nivitoe anisaidie kuosha nafkr alviona kwny kbaraza,nlfurah nkavtoa akansaidia nlshkur..

Nliona hii ya knisaidia kuosha vyombo si nzuri nkaamua kuwa nakaza mwenyew,sa ikawa nkitoa vyombo kuosha nae ataleta vyake then ataniambia fata maji nkusaidie na vyako..
nkaona sasa ntakua stoki nje kuosha kwny sink ntaosha ndani hlo nkawa nmefaulu.

Jambo jipya saivi ni movie,mwanzo alianza kuniazma flash ila nkamtahadharisha kuna movie nyngne humo zafaa kuangalia peke ako nlikua na movie ya kiss&kill na love again kwa wapenzi wa movie ni moja ya love story kal sana

I mean "love again"ni movie moja matata sana celine dion yupo mle ndani..
Tuendelee.

Alponiomba nkawa nmempatia kuangalia alpomalz akarejesha,mazoea yameanz tna taratbu mwanzo alkua akiishia mlangon ila saiv anaingia anakaa anaangalia movie,muda mwngne naenda kuzurula namuacha gheto..

Kisa cha leo tangu asubuh sjatoka coz mvua ilikua inanyesha nimechezea cm bdae nkawasha tv nkaanza kucheki cartoon[tom &jerry]hahah napenda sana,bdae huyu hapa mlangoni akasema unaangalia katuni nkamjibu ee,ngja namimi nije niangalie nkamwambia karbu, yey:fulani adi saiv ujaamka ukiwa peke ako bana

Mimi:ndo hivyo sina haraka yyt sema hapa nipo na njaa kupka naskia uvivu vyombo vichafu hapa ntapka uck..
yeye:hata mimi nkiwaga peke angu waga nashnda njaa mara nyngne..haya naenda narudi..

Baada ya kama nusu saa alrud tkaangalia kdg katuni nkaona hapendelei sana,nkaweka ya nigeria hadi mida ya sa12 na nusu hv ikawa imeisha.

Ilipoisha nkaona bdo kakaa tu mi muda huo npo nimejilaza kwa bed,nkaweka ngoma t tkaendlea kuangalia na story za mapenz mapenz zmepamba moto kdog tanesco wakachkua jua lao giza tkakaa kdog,kabd mi niamke sasa ye nae akatoka ndo ktoa vyombo nioshe ili npke nile mara nae ndo akawa ametoa vyake na jiko la mkaa ndo akawasha hapo inaelekea sambili,ikiwa siku zote ye samoja waga mara nyng hkutwa anakula au anamalzia kupk..

ile naanza kuosha,akaniambia unaosha??htak nkusaidie,nkamwambia sawa nsaidie nlshkur make vyombo nlikua nnatumia t siosh,nlimwachia nkaenda kuoga nkarudi kumpgsha story akiwa anaosha vyombo,katka story story mara oh maswala ya namba ya simu,Ooh ungekua na namb yangu ya simu tngekua tnachat,nkamwambia ntakupa,nkamwandkia pale pale akantext..
sasa jambo lililonishtua aliniulza kesho unaenda wap?nkamjibu siendi popote.
Naomba kesho unsndkze klniki nampleka mtoto sjui kufanya fanya nini skuelew,nlikubal sabu niliona nkikataa


Tuendlee,tumalizie..
skukataa sabb nliona nikikataa haitopendeza ikiwa ye kamalza kusugua rundo la vyombo besen zima,hvyo nlikubali..

nlichkua vyombo tkachat chat vitext vya mitego had sa 4 nkamuacha.

iko hivi kinachonipa mimi maswali dhahania ni je niombe tunda?? Au nsbr yeye mpaka achokoze..ikumbukwe ni mwanamke ambae pia nkua namlia timing ila jamaa aliwah zaid kumchkua na kumuweka ndani..AU YOTE Anayofanya ni just a friend or neighborhood..

ILA MI AKINIPA LAZIMA NIPIGE,dalili za kupewa zipo ila zipo taratibu,yani hataki aone kama amejileta,kaul zake kila saa "yaani mimi sijui kuwa na mtu af niwe na mtu tena,sjui baba flan alinpataje,ila nlimzungusha"

mume wake naona katoka ndiyo maana naona uhuru leo umekua mkubwa

mimi huwaga srudii kusoma wala kuedit nlipokosea mfix,huwa nasoma nkiwa tayari nimeshapost,mnivumilie patakapo leta changamoto yoyote ya kisarufi.
Wanaume wakatili huwa ni wakimya hawasemi chochote, huyo mume wake ameshajua kinachoendelea ila anajidai hajui. utakuja kujikuta upo kwenye jengo halijaisha kujengwa na hujui ni wapi na pembeni kuna SMG na majitu usio wajua sura wala hukuwahi kuwaona.
 
Si umkulee piga pombe mwanzishie kimasihara akitiki kula akigoma singizia pombe
hahahah hii nzuri,asje nletea kesi nkutwe ata kumla sjamla dadeki wait..pombe hapendi,ila anajua natumia kishada,sa ngj one day nmoke af ajae kwny 18 nalianzsh aknpa napga akruka ndo mwisho wa yy kuingia gheto..
 
Maelezo yote hayo ya kazi gani Sasa? Mpaka muda huu bado hujamla tu? Embu acha masihara bana.
 
Ndio, inaitwa "jinsi nilivyotatuliwa marinda na mwanaume mwenzangu".

Hapo juu kaweka season ya kwanza. Season ya pili itakuwa fupi na episode moja tu ya jinsi alivyopakatwa na mume wa demu wake.
Huwa hafanyi masahihisho akiandika.Mwishowe itabidi afanye hivyo aweke kichwa cha habari hapo juu kwani ndio itakuwa mwisho mkasa utakaompata.
Yanini kusubiri kote huko na mwanamke wenyewe inaonekana ni mwehu.
 
Back
Top Bottom