Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Wazazi wako walikuwa watumishi wa serikali?Daaha kwa mimi niliyesoma shule za msingi kama tano inakua ngumu hapo
1-2 Inyala Iyunga Mbeya
3-4 Mapinduzi Forest Mbeya
5-6 Majimatitu Mbagala DSM
6-7 Kivinje Kilwa Lindi
Hapa kuwakumbuka ni shighuli sana an daaah
Hapana mkuu ni ishu ya family separationWazazi wako walikuwa watumishi wa serikali?
Pole sanaNasoma huu uzi huku roho inaniuma,nimepoteza rafiki zangu wa karibu watatu,amebaki mmoja sasa. Hao watatu wametangulia mbele za haki huku vifo vyao vikiwa vya kutatanisha na mmoja maiti yake haikuonekana alizama Bwawa la Mtera wakati wakiwa kuvua samaki usiku...
Pole sana mkuu. Mimi nimepoteza rafiki yangu wa utotoni mwaka jana. Mpaka leo nikimpigia simu mama yake analiaga kama mtoto.Nasoma huu uzi huku roho inaniuma,nimepoteza rafiki zangu wa karibu watatu,amebaki mmoja sasa. Hao watatu wametangulia mbele za haki huku vifo vyao vikiwa vya kutatanisha na mmoja maiti yake haikuonekana alizama Bwawa la Mtera wakati wakiwa kuvua samaki usiku...
Wapo sema haujawatafuta tu.Sijui wako wapi wale rafiki zetu wa shule ya msingi hasa darasa la kwanza mpaka la 7
Wale wanajua Siri zetu tangu tunajikojolea Darasani
Alafu kuna yule rafiki yako ambae ilikuwa kila Siku lazima atoe kitu darasani
Elewa neno kutoa kitu
Asante MkuuPole sana
Asante Mkuu,pole na wewe.Yaani hao jamaa zangu tulikuwa huru sana tukiamua leo walale kwetu wanakuja,siku nyingine tukalale kwa akina F tunaenda,siku nyingine kwa akina J tunaenda. Urafiki ulikuwa shuleni hadi mtaaniPole sana mkuu. Mimi nimepoteza rafiki yangu wa utotoni mwaka jana. Mpaka leo nikimpigia simu mama yake analiaga kama mtoto.
Amebakiza picha yetu ya utotoni, huwa nikienda kumuona hatakagi niondoke 😭.
Inshort, jamaa alipata mental problem kwa kipindi cha miakw miwili, mbaya sana alikuwa hali. Yani kilichomuua ni njaa. Maana ni chizi halafu hali. Sasa mtu mzima unamlishaje?