Sijui wenzangu mmeliona hili kwa wanawake wanaofunga Ramadhani

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Wanawake wanaofunga kisawasawa huwa wananawiri zaidi na kuwa na nyuso zenye mng'aro na nyororo kuliko siku za kawaida.

Uwezekano wa kupata mimba huongezeka zaidi mara baada ya mfungo huo mtukufu kuliko miezi ya kawaida.

Nimezungumza hivyo kwa utafiti wangu mwenyewe na kwa kuona matokeo kwa wengine.
 
sheikh mbona unadanganya mchana peupe? Wananawiri vipi wakati hukondeana kwa kupunguza kulakula?
 
Sheikh naona swaumu inakupeleka pabaya. Kama vipi tuwekee basi na picha za hao wanawake ili tuamini hiki ulichokiandika hapa.
 
Wanawake wanaofunga kisawasawa huwa wananawiri zaidi na kuwa na nyuso zenye mng'aro na nyororo kuliko siku za kawaida.

Uwezekano wa kupata mimba huongezeka zaidi mara baada ya mfungo huo mtukufu kuliko miezi ya kawaida.

Nimezungumza hivyo kwa utafiti wangu mwenyewe na kwa kuona matokeo kwa wengine.
Ukiwa umefunga unapunguza ulaji ovyo ovyo.

Imagine mtu hajafunga atakula zaidi ya milo 4 kwa siku, tena hao Ke wanakula aina nyingi ya vyakula hapa mjini ambayo ni sumu hadi vinachakaza mwili.

Nimewaza tu[emoji2][emoji2]
 
Huwenda ni kwa sababu hawatumiki kingono kama siku nyingine ndio maana wananawiri na siku wakikutana kimwili na mwanaume possibility ya kupata mimba ni kubwa sababu kitu chochote kikiwa kinatumika kupitiliza kinapoteza uwezo wake wa kufanya kazi kwa ufanisi.
 
Wanawake wanaofunga kisawasawa huwa wananawiri zaidi na kuwa na nyuso zenye mng'aro na nyororo kuliko siku za kawaida.

Uwezekano wa kupata mimba huongezeka zaidi mara baada ya mfungo huo mtukufu kuliko miezi ya kawaida.

Nimezungumza hivyo kwa utafiti wangu mwenyewe na kwa kuona matokeo kwa wengine.
Huu ni uwongo tu
 
Ulishawapa mimba wangapi baada ya ramadan kirahisi?
 
Wanawake wanaofunga kisawasawa huwa wananawiri zaidi na kuwa na nyuso zenye mng'aro na nyororo kuliko siku za kawaida.

Uwezekano wa kupata mimba huongezeka zaidi mara baada ya mfungo huo mtukufu kuliko miezi ya kawaida.

Nimezungumza hivyo kwa utafiti wangu mwenyewe na kwa kuona matokeo kwa wengine.
Ila wawe wanapiga mswaki basi, kusugua meno na ulimi kwa mswaki, maji na dawa hakuvunji mfungo.
 
Back
Top Bottom