Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni utoto tu kama mnaodanganywa kuwa mtafanya ngono na wanawake 70.Jaribu kufuatilia.Usiseme ni uwongo bila hoja.
Waislam hawahubiri,wanafundishana namna ya kutenda kwa mujibu wa dini,kuanzia kula,kunya,kuingiliana,swala,biashara,tawheed,ukifa wakusitiri vipi nk,hawakoromi Kama mbuzi kuhubiri na kutafuta misamiati mipya kila siku,Mara kibali Cha Mungu,makerubi..Hata mahubiri yao ni ngono na maiti
Pepo ni kubwa sana.Muda ni wa milele.Hakuna kuumwa wala kufa.Huo ni utoto tu kama mnaodanganywa kuwa mtafanya ngono na wanawake 70.
Hivi wanaowaelezaga mautopolo kama hayo huwa wamewaonaje kwanza? Maana yake ni maugolo kabisa.