sheikh mbona unadanganya mchana peupe? Wananawiri vipi wakati hukondeana kwa kupunguza kulakula?Wanawake wanaofunga kisawasawa huwa wananawiri zaidi na kuwa na nyuso zenye mng'aro na nyororo kuliko siku za kawaida.
Uwezekano wa kupata mimba huongezeka zaidi mara baada ya mfungo huo mtukufu kuliko miezi ya kawaida.
Nimezungumza hivyo kwa utafiti wangu mwenyewe na kwa kuona matokeo kwa wengine.

Sheikh naona swaumu inakupeleka pabaya. Kama vipi tuwekee basi na picha za hao wanawake ili tuamini hiki ulichokiandika hapa.Wanawake wanaofunga kisawasawa huwa wananawiri zaidi na kuwa na nyuso zenye mng'aro na nyororo kuliko siku za kawaida.
Uwezekano wa kupata mimba huongezeka zaidi mara baada ya mfungo huo mtukufu kuliko miezi ya kawaida.
Nimezungumza hivyo kwa utafiti wangu mwenyewe na kwa kuona matokeo kwa wengine.
Ukiwa umefunga unapunguza ulaji ovyo ovyo.Wanawake wanaofunga kisawasawa huwa wananawiri zaidi na kuwa na nyuso zenye mng'aro na nyororo kuliko siku za kawaida.
Uwezekano wa kupata mimba huongezeka zaidi mara baada ya mfungo huo mtukufu kuliko miezi ya kawaida.
Nimezungumza hivyo kwa utafiti wangu mwenyewe na kwa kuona matokeo kwa wengine.
Hata mahubiri yao ni ngono na maitiHawa jamaa mambo yao yoote ni juu ya ngono
Huu ni uwongo tuWanawake wanaofunga kisawasawa huwa wananawiri zaidi na kuwa na nyuso zenye mng'aro na nyororo kuliko siku za kawaida.
Uwezekano wa kupata mimba huongezeka zaidi mara baada ya mfungo huo mtukufu kuliko miezi ya kawaida.
Nimezungumza hivyo kwa utafiti wangu mwenyewe na kwa kuona matokeo kwa wengine.
Ulishawapa mimba wangapi baada ya ramadan kirahisi?Wanawake wanaofunga kisawasawa huwa wananawiri zaidi na kuwa na nyuso zenye mng'aro na nyororo kuliko siku za kawaida.
Uwezekano wa kupata mimba huongezeka zaidi mara baada ya mfungo huo mtukufu kuliko miezi ya kawaida.
Nimezungumza hivyo kwa utafiti wangu mwenyewe na kwa kuona matokeo kwa wengine.
Ila wawe wanapiga mswaki basi, kusugua meno na ulimi kwa mswaki, maji na dawa hakuvunji mfungo.Wanawake wanaofunga kisawasawa huwa wananawiri zaidi na kuwa na nyuso zenye mng'aro na nyororo kuliko siku za kawaida.