Sijutii kuifahamu JamiiForums hasa Love Connect

Sijutii kuifahamu JamiiForums hasa Love Connect

Waambie wapunguze vigezo maana kuoana sio kuomba ajira, haswa kwenye elimu utaona ooh mwenye degree etc
Ila hapo kwenye Degree naonaga wengi wanaosema hivi nao wana Degree
Kikawaida mwanamke akiwa Na Degree mwanaume hana huwa inampunguzia amani mwanaume
Au kama VP sawa.
Elimu sometimes ina matter japo japo si sana.
 
Pamoja na mbwembwe zote, umeshindwa kumtaja huyo uliempata humu! Bado mna safari ndefu.

BTW kuna pahala Umesema uliwahi kuwa na mchumba wa URAIANI, sa kama JF sio uraiani, Nambie hapa ni Magogoni ama Mtego wa Simba?
 
Usituletee mrejesho umetendwa tena, manake nyinyi kwa usiku na mchana, all the best
 
Umenishtua sana
Unaweza ukawa unatania but ukawa umepatia
Nakumbuka first Day namuona ni baada ya kwenda Jk international Airport akitokea nje masomoni ( PHD)
Na ni kweli tulichukua Tax .
Au ulikuwa unasikiliza story
Vipi mmeshafunga ndoa??
 
Back
Top Bottom