sikia ndoto hii ya mchana ya mzee EDWIN MTEI

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,536
“Nimeandaa dume la ng’ombe, Oktoba 31, mwaka huu. Ukija hapa siku hiyo nakukaribisha katika sherehe kubwa nitakayoiandaa…nitachinja dume na kuwaaga viongozi wa Chadema watakaokuwa wamechaguliwa kushika dola kusherehekea ushindi.”

Hiyo ni kauli ya matumaini. Ni kauli inayotoka mdomoni mwa Muasisi na Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Edwin Mtei, akielezea jinsi anavyoona na matarajio yake kwa Uchaguzi Mkuu ujao.

“Nakukaribisha siku hiyo na huu ndio mwaliko wako, uje kusherehekea ushindi wa Chadema hapa nyumbani, kabla ya viongozi hao kwenda kuapishwa Dodoma.”

Alikuwa akizungumza na mwandishi wa makala hii nyumbani kwake eneo la Shangarai, wilayani Tengeru, Mkoa wa Arusha.

Kauli ya Mzee Mtei imekuja siku chache baada ya Katibu wa Chadema, Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa, mwishoni mwa mwezi ulipita kuwa chama hicho kimeandaa mikakati ya kutwaa dola Oktoba, mwaka huu.

Golugwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, anasema hawataki tu kuwa na chama maarufu ila kuchukua dola, tena sio miaka mingi ijayo ila Oktoba mwaka huu.

Akiweka msisitizo, Mtei anasema uchaguzi mkuu ujao ndio utadhihirisha matakwa ya demokrasia.

Anasema Chadema itachagua mgombea makini mwenye maadili na sifa ya kuongoza nchi. Mtu mwenye upeo na mawazo ya maendeleo kwa wananchi na taifa.

SOURCE Nipashe
 
Eeeh si ni kweli?wala si ndoto...kwani kipi cha ajabu CHADEMA kushika dola.....
 
Linganisha 'ndoto' hiyo na ile ndoto ya maisha bora kwa kila m-Tanzania.
 
“Nimeandaa dume la ng’ombe, Oktoba 31, mwaka huu. Ukija hapa siku hiyo nakukaribisha katika sherehe kubwa nitakayoiandaa…nitachinja dume na kuwaaga viongozi wa Chadema watakaokuwa wamechaguliwa kushika dola kusherehekea ushindi.”

Hiyo ni kauli ya matumaini. Ni kauli inayotoka mdomoni mwa Muasisi na Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Edwin Mtei, akielezea jinsi anavyoona na matarajio yake kwa Uchaguzi Mkuu ujao.

“Nakukaribisha siku hiyo na huu ndio mwaliko wako, uje kusherehekea ushindi wa Chadema hapa nyumbani, kabla ya viongozi hao kwenda kuapishwa Dodoma.”

Alikuwa akizungumza na mwandishi wa makala hii nyumbani kwake eneo la Shangarai, wilayani Tengeru, Mkoa wa Arusha.

Kauli ya Mzee Mtei imekuja siku chache baada ya Katibu wa Chadema, Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa, mwishoni mwa mwezi ulipita kuwa chama hicho kimeandaa mikakati ya kutwaa dola Oktoba, mwaka huu.

Golugwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, anasema hawataki tu kuwa na chama maarufu ila kuchukua dola, tena sio miaka mingi ijayo ila Oktoba mwaka huu.

Akiweka msisitizo, Mtei anasema uchaguzi mkuu ujao ndio utadhihirisha matakwa ya demokrasia.

Anasema Chadema itachagua mgombea makini mwenye maadili na sifa ya kuongoza nchi. Mtu mwenye upeo na mawazo ya maendeleo kwa wananchi na taifa.

SOURCE Nipashe

Hapa kasema ukweli mtupu, kwa sababu hajasema ni viongozi wa aina gani watakaoshinda katika huo uchaguzi, kama ni Wabunge ni hakika kuwa watapatikana na hata sasa wapo. Aidha, ni kweli kwamba wabunge huwapishwa Dodoma, Mkuu wa Dola, yaani Rais haapishwi Dodoma !! Hivi kuna wilaya ya Tengeru nchini Tanzania kweli !!?? Inaweza kuwa kweli, maana wilaya mpya nyingi zimeanzishwa ila wilaya ya Tengeru kweli ipo ??
 
Sasa Chadema au UKAWA? Mbona mnaanza kutuchanganya.

Hawa wameshaanza kusahau makubaliano yao mzee anawaza urais,ndo maana Dovutwa alisema UKAWA wakisimamisha mgombea mmoja atakua tayari kutoa kura zake kwa ukawa ha ha ha ha
 
“Nimeandaa dume la ng’ombe, Oktoba 31, mwaka huu. Ukija hapa siku hiyo nakukaribisha katika sherehe kubwa nitakayoiandaa…nitachinja dume na kuwaaga viongozi wa Chadema watakaokuwa wamechaguliwa kushika dola kusherehekea ushindi.”

Hiyo ni kauli ya matumaini. Ni kauli inayotoka mdomoni mwa Muasisi na Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Edwin Mtei, akielezea jinsi anavyoona na matarajio yake kwa Uchaguzi Mkuu ujao.

“Nakukaribisha siku hiyo na huu ndio mwaliko wako, uje kusherehekea ushindi wa Chadema hapa nyumbani, kabla ya viongozi hao kwenda kuapishwa Dodoma.”

Alikuwa akizungumza na mwandishi wa makala hii nyumbani kwake eneo la Shangarai, wilayani Tengeru, Mkoa wa Arusha.

Kauli ya Mzee Mtei imekuja siku chache baada ya Katibu wa Chadema, Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa, mwishoni mwa mwezi ulipita kuwa chama hicho kimeandaa mikakati ya kutwaa dola Oktoba, mwaka huu.

Golugwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, anasema hawataki tu kuwa na chama maarufu ila kuchukua dola, tena sio miaka mingi ijayo ila Oktoba mwaka huu.

Akiweka msisitizo, Mtei anasema uchaguzi mkuu ujao ndio utadhihirisha matakwa ya demokrasia.

Anasema Chadema itachagua mgombea makini mwenye maadili na sifa ya kuongoza nchi. Mtu mwenye upeo na mawazo ya maendeleo kwa wananchi na taifa.

SOURCE Nipashe

Kwa hiyo Chadema inawalazimisha UKAWA waachane na wazo la kugombea urais kwa kuwa ni mali ya chadema sio!? Nilijua tu akina Lipumba na Mbatia walikuwa.wanatumika tu!
 
“Nimeandaa dume la ng’ombe, Oktoba 31, mwaka huu. Ukija hapa siku hiyo nakukaribisha katika sherehe kubwa nitakayoiandaa…nitachinja dume na kuwaaga viongozi wa Chadema watakaokuwa wamechaguliwa kushika dola kusherehekea ushindi.”

Hiyo ni kauli ya matumaini. Ni kauli inayotoka mdomoni mwa Muasisi na Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Edwin Mtei, akielezea jinsi anavyoona na matarajio yake kwa Uchaguzi Mkuu ujao.

“Nakukaribisha siku hiyo na huu ndio mwaliko wako, uje kusherehekea ushindi wa Chadema hapa nyumbani, kabla ya viongozi hao kwenda kuapishwa Dodoma.”

Alikuwa akizungumza na mwandishi wa makala hii nyumbani kwake eneo la Shangarai, wilayani Tengeru, Mkoa wa Arusha.

Kauli ya Mzee Mtei imekuja siku chache baada ya Katibu wa Chadema, Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa, mwishoni mwa mwezi ulipita kuwa chama hicho kimeandaa mikakati ya kutwaa dola Oktoba, mwaka huu.

Golugwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, anasema hawataki tu kuwa na chama maarufu ila kuchukua dola, tena sio miaka mingi ijayo ila Oktoba mwaka huu.

Akiweka msisitizo, Mtei anasema uchaguzi mkuu ujao ndio utadhihirisha matakwa ya demokrasia.

Anasema Chadema itachagua mgombea makini mwenye maadili na sifa ya kuongoza nchi. Mtu mwenye upeo na mawazo ya maendeleo kwa wananchi na taifa.

SOURCE Nipashe

Huyu Mzee hovyo kabisa nakumbuka hata ile tume ya jaji warioba ilipoteuliwa na raisi aliiponda na kusema imejaa waislam wengi.
 
hii ni kauli hatarishi kwani kwa mtazamo wake LAZIMA chadema washinde. ina maana wakishindwa anaweza tumia nguvu. siungi mkono kauli chonganishi kama hizi.
 
Hapa kasema ukweli mtupu, kwa sababu hajasema ni viongozi wa aina gani watakaoshinda katika huo uchaguzi, kama ni Wabunge ni hakika kuwa watapatikana na hata sasa wapo. Aidha, ni kweli kwamba wabunge huwapishwa Dodoma, Mkuu wa Dola, yaani Rais haapishwi Dodoma !! Hivi kuna wilaya ya Tengeru nchini Tanzania kweli !!?? Inaweza kuwa kweli, maana wilaya mpya nyingi zimeanzishwa ila wilaya ya Tengeru kweli ipo ??

Njoon huku kwenye safar ya matumaini na E.Lowassa
 
Kwani mategemeo yako rais ajae atakuwa ni wa dini gani na kwa nini unategemea hivyo
 
Back
Top Bottom