sikiliza bongo radio sasa hivi kuna wimbo mzuri

sikiliza bongo radio sasa hivi kuna wimbo mzuri

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2007
Posts
5,185
Reaction score
60
Samahani mods nimeshindwa kujizuia so nimeweka hapa si unajua tena ni ijumaa. Kuna wimbo unaendelea bongo radio sasa hivi wa masanja wa kula ugali.... nimecheka sana na kwa wale wenye hasira na mambo yanayoendelea Tanzania wanaweza kupunguza hasira hapo

thanks mazee geeque kwa hilo song!
 
MWK

....ndio hivyo mazee GQ anafanya vitu vyake.....nilikuwa namsikiliza mwanawane!!! hahahah
 
MWK

....ndio hivyo mazee GQ anafanya vitu vyake.....nilikuwa namsikiliza mwanawane!!! hahahah

mwanawane nimesikia hiyo nikacheka sana.....

asante sana..... JF na bongoradio vinamake bonge la kombo!
 
mwafrika wa kike,Ogah na kithuku ahsanteni sana niko mitamboni sasa kama mna request yeyote leteni hapa nami nitapiga. http://www.bongoradio.com

Easter Njema Wote. !!!!
 
Piga KIMBIA ya watoto wa kitaa..mikocheni...wakina langa..heeh ehe
 
hahahahahah.........eeee bana eeee Nyani kujiunga na Kambi ya Obama, naona Mzee Susu, YNIM et al watakuwa wamefanya kazi ya ziada
 
hahahahahah.........eeee bana eeee Nyani kujiunga na Kambi ya Obama, naona Mzee Susu, YNIM et al watakuwa wamefanya kazi ya ziada

I have to see it to believe it... Ngabu yuko wapi kusema hili?
 
Back
Top Bottom