sikiliza bongo radio sasa hivi kuna wimbo mzuri

sikiliza bongo radio sasa hivi kuna wimbo mzuri

ummemsikia langa "Nchi imeuzwa Tanesco, mAdini hata Air Tanzania bora kukimbia"
 
Mazee GQ nimetuma ombi langu through ya email 113
 
nimepata old skool hiyo.. asante sana! nitaacha na maombi ya wengine yachezwe pia kwa sasa....

Hii dunia bado haijaishiwa vipaji kwa kweli... good job GQ!
 
Thanks a lot, i never knew about this radio till today. Hii inarushwa toka wapi maana quality mbona nzuri sana?
 
I knw this is the second request..nimenogewa..but if u can please play p-unit mtoto mzuri..hadi aibu..i feel like im ma car in dar on ma way to the club..lol
 
Hapo sawa Mazee.............Tunachana ZAIDI YA WEMBE
 
Back
Top Bottom