Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Samahani mods nimeshindwa kujizuia so nimeweka hapa si unajua tena ni ijumaa. Kuna wimbo unaendelea bongo radio sasa hivi wa masanja wa kula ugali.... nimecheka sana na kwa wale wenye hasira na mambo yanayoendelea Tanzania wanaweza kupunguza hasira hapo
thanks mazee geeque kwa hilo song!
MWK
....ndio hivyo mazee GQ anafanya vitu vyake.....nilikuwa namsikiliza mwanawane!!! hahahah
mwafrika wa kike,Ogah na kithuku ahsanteni sana niko mitamboni sasa kama mna request yeyote leteni hapa nami nitapiga. http://www.bongoradio.com
Easter Njema Wote. !!!!
Mazee GQ,
si unajua tena mimi na bolingo.... kama kawaida! ukipata mmoja weka basi... yoyote utakayokuwa nayo!
hahahahahah.........eeee bana eeee Nyani kujiunga na Kambi ya Obama, naona Mzee Susu, YNIM et al watakuwa wamefanya kazi ya ziada
Piga KIMBIA ya watoto wa kitaa..mikocheni...wakina langa..heeh ehe
Pouwaaaa nakutwangia na Sebene ya nguvu kutoka kwa FM Academia hapa na ukitaka kuburudika huku unaaangalia Video cheki hapa http://www.eastafricantube.com/media/8337/FM_Academia_-_Dunia_Kigeugeu/
hahahahahah.........eeee bana eeee Nyani kujiunga na Kambi ya Obama, naona Mzee Susu, YNIM et al watakuwa wamefanya kazi ya ziada
Inakuja next Mazee usiwe na wasiwasi.
Patiently waiting!! vERse ya langa tamu sana kwenye huo wimbo!!
Internet Radio is the future man!!Nice move
Ikitoka hii ndombolo inakuja Kimbia