dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
- Thread starter
-
- #181
Nimepost hearthis.com kwa sasa nimeweka free kwanza mkuu..ila kama kuna ya bando..kuna namba yangu ipo post ya kwanza kabisa ..0623012512Sawa mkuu, unazipost kwenye site gani na kuna faida uniapata huko unapoziweka!? maana ungepata manufaa kama unazipost sehemu utakapo lipwa kwa view, na wadau humu tumekukubali na tutakupa support
Za simu sizijui .ninazifaham za pc tu..Hivi unaweza jua dj application iliyo nzuri playstore maaana zipo nyingiiii nashindwa kuchagua
1)DjayHivi unaweza jua dj application iliyo nzuri playstore maaana zipo nyingiiii nashindwa kuchagua
Ngoja na mimi nizishushe1)Djay
2)Cross dj
3)Edjing mix
Aisee hizo zote nazitumia(takribani 5yrs) ni balaa sana tena ukipata pro version ni nzuri sana
We zijaribu utanishukuru kwa muda wako boss.
Nyingine ni miyeyusho tu.
We jaribu mkuu utanishukuru baadae,Ngoja na mimi nizishushe
Yaa nimekusoma...mkuu...itanifaa hiyoWe jaribu mkuu utanishukuru baadae,
Nlichopenda kwenye hizo zote zina Options ya "Pre-cueing" yaani unaweza kutumia headphone ku skiza wimbo unaofuata na ku Beatmatching ( we ni dj nadhani hapa umenielewa sana)
Pia option ya "auto_gain" kwa djay na cross dj, ina hii features japo ya Djay iko vizuri zaidi ina booster nzuri kwa tracks ambazo zipo low sana.
Na vikorombwezo vingine vingi tu utavipata kwenye hizo softwares.
Pamoja mtu wanguYaa nimekusoma...mkuu...itanifaa hiyo
KaribuRaha sana
Mkuu fanya mpango wa mix ya ReddimKaribu
Una maanisha riddim au?? Riddim zipo nyingi unataka riddim ganMkuu fanya mpango wa mix ya Reddim
Mkuu sisi wa dancehall umetutengaUna maanisha riddim au?? Riddim zipo nyingi unataka riddim gan
Nitaweka mkuuMkuu sisi wa dancehall umetutenga
Umenitendea wema sana mkuu, ubarikiwe sana1)Djay
2)Cross dj
3)Edjing mix.
Aisee hizo zote nazitumia(takribani 5yrs) ni balaa sana tena ukipata pro versions ni nzuri sana.
We zijaribu utanishukuru kwa muda wako boss.
Nyingine ni miyeyusho tu.
Upo vuzuriiiii sana mkuu, nikuombe kitu mkuu naomba uje pm unitumie links plzWe jaribu mkuu utanishukuru baadae,
Nlichopenda kwenye hizo zote zina Options ya "Pre-Cueing" yaani unaweza kutumia headphone ku skiza wimbo unaofuata na ku Beat-Matching, ( we ni DJ nadhani hapa umenielewa sana).
Pia option ya "Auto_Gain" kwa djay na Cross Dj, Ina hii features japo ya Djay iko vizuri zaidi ina booster nzuri kwa tracks ambazo zipo low sana.
Na vikorombwezo vingine vingi tu utavipata kwenye hizo softwares.
Pamoja sanaNimepost hearthis.com kwa sasa nimeweka free kwanza mkuu..ila kama kuna ya bando..kuna namba yangu ipo post ya kwanza kabisa ..0623012512