Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Sawa mkuu, unazipost kwenye site gani na kuna faida uniapata huko unapoziweka!? maana ungepata manufaa kama unazipost sehemu utakapo lipwa kwa view, na wadau humu tumekukubali na tutakupa support
Nimepost hearthis.com kwa sasa nimeweka free kwanza mkuu..ila kama kuna ya bando..kuna namba yangu ipo post ya kwanza kabisa ..0623012512
 
Hivi unaweza jua dj application iliyo nzuri playstore maaana zipo nyingiiii nashindwa kuchagua
1)Djay
2)Cross dj
3)Edjing mix.

Aisee hizo zote nazitumia(takribani 5yrs) ni balaa sana tena ukipata pro versions ni nzuri sana.
We zijaribu utanishukuru kwa muda wako boss.

Nyingine ni miyeyusho tu.
 
Rhumba vol 2
feregola fally ipupa,madilu,werason,jb mpiana,calysto,mpongo love,molupwe,koffi olomide iko tayariii.........
 
Soukous mix nayo iko poa
Mayaula,defao,victoria,damian aziwa,awilo,nyiboma,,ghato...iko tayariiii!!!!!
 
Ngoja na mimi nizishushe
We jaribu mkuu utanishukuru baadae,

Nlichopenda kwenye hizo zote zina Options ya "Pre-Cueing" yaani unaweza kutumia headphone ku skiza wimbo unaofuata na ku Beat-Matching, ( we ni DJ nadhani hapa umenielewa sana).

Pia option ya "Auto_Gain" kwa djay na Cross Dj, Ina hii features japo ya Djay iko vizuri zaidi ina booster nzuri kwa tracks ambazo zipo low sana.

Na vikorombwezo vingine vingi tu utavipata kwenye hizo softwares.
 
We jaribu mkuu utanishukuru baadae,

Nlichopenda kwenye hizo zote zina Options ya "Pre-cueing" yaani unaweza kutumia headphone ku skiza wimbo unaofuata na ku Beatmatching ( we ni dj nadhani hapa umenielewa sana)

Pia option ya "auto_gain" kwa djay na cross dj, ina hii features japo ya Djay iko vizuri zaidi ina booster nzuri kwa tracks ambazo zipo low sana.
Na vikorombwezo vingine vingi tu utavipata kwenye hizo softwares.
Yaa nimekusoma...mkuu...itanifaa hiyo
 
We jaribu mkuu utanishukuru baadae,

Nlichopenda kwenye hizo zote zina Options ya "Pre-Cueing" yaani unaweza kutumia headphone ku skiza wimbo unaofuata na ku Beat-Matching, ( we ni DJ nadhani hapa umenielewa sana).

Pia option ya "Auto_Gain" kwa djay na Cross Dj, Ina hii features japo ya Djay iko vizuri zaidi ina booster nzuri kwa tracks ambazo zipo low sana.

Na vikorombwezo vingine vingi tu utavipata kwenye hizo softwares.
Upo vuzuriiiii sana mkuu, nikuombe kitu mkuu naomba uje pm unitumie links plz
 
Back
Top Bottom