dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
- Thread starter
-
- #221
Tuko pamoja mwamba..Flashback mixcrate coming out soon..get ready guys...
Za bongo au mbelemkuu kazi nzuri sana..sasa tukumbuke na sisi wapenz wa hiphop kidogo, zile ngumu nyeusi zihusike
Safi hivo ndivyo inatakiwa na mziki unakuwa na radha. sio kuplay kidogo tu mara umeukata radha yote inakuwa imepoteaKuhusu bpm sio kweli..bpm zinaendana coz huwa nazisort before sjaanza mix..kama zipo ni chache sana..mfano hebu nitajie ni nyimbo gani hazijaendana bpm?.
Na kuhusu kumix sijafanya cutting kwa sababu kuna mdau juu alishauri hivo.watu wanapenda wasikie wimbo karibia wote sio kama vile unapiga radio kukimbizana na muda..
napiga wimbo angalau mpka chorus ya mwisho ndo nahama..sio kwamba siwez kufanya cut mix..mkuu
Nb.hii nimejitolea kwa ajili ya wadau humu.sio club,radio au nimekodiwa na mtu
Poa poa mkuu.naona jamaa aliona kama nazingua..Safi hivo ndivyo inatakiwa na mziki unakuwa na radha. sio kuplay kidogo tu mara umeukata radha yote inakuwa imepotea
Asante kiongozbarikiwa saana mkuu
Mkuu tuandalie ya
Kwaito mix
Ragga mix
Nitakuwa mmoja wa wenye kushukuru
thanksragga-maffindancehall-s-mixcrate-1IGNAS NDIMBO
Listen to music and sounds from IGNAS NDIMBO and explore tracks and mixes on hearthis.athearthis.at
Mkuu tuandalie ya
Kwaito mix
Ragga mix
Nitakuwa mmoja wa wenye kushukuru
Mkuu tuandalie ya
Kwaito mix
Ragga mix
Nitakuwa mmoja wa wenye kushukuru
Mkuu tuandalie ya
Kwaito mix
Ragga mix
Nitakuwa mmoja wa wenye kushukuru
thanks
Poa.nimekueekea hapo vol one na vol two..ragga and dancehallthanks
Tupangie na groove back kama za yule Peter Moe wa clouds fm.