Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Ragga mafin mixcrate vol 1https://hearthis.at/ignas-ndimbo/dvj-nasmiletz-ragga-maffindancehall-s-mixcrate-1
 
Kuhusu bpm sio kweli..bpm zinaendana coz huwa nazisort before sjaanza mix..kama zipo ni chache sana..mfano hebu nitajie ni nyimbo gani hazijaendana bpm?.

Na kuhusu kumix sijafanya cutting kwa sababu kuna mdau juu alishauri hivo.watu wanapenda wasikie wimbo karibia wote sio kama vile unapiga radio kukimbizana na muda..

napiga wimbo angalau mpka chorus ya mwisho ndo nahama..sio kwamba siwez kufanya cut mix..mkuu

Nb.hii nimejitolea kwa ajili ya wadau humu.sio club,radio au nimekodiwa na mtu
Safi hivo ndivyo inatakiwa na mziki unakuwa na radha. sio kuplay kidogo tu mara umeukata radha yote inakuwa imepotea
 
Back
Top Bottom