dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
- Thread starter
-
- #261
Poa ngoja nizichekAfu mkuu nifanyie wepesi kwenye hizi extended/Intros
hapa chini;
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Young Gully _ No way extended
Ayo jay_ your Number extended
Tok _Gal yuh a lead extended
Nikizipata nitakushukuru sana, sana sana, japo kukulipa kwa wema wako sintoweza mkuu.
Natanguliza shukrani, [emoji120] [emoji120] [emoji120].
KaribuNashukuru sana Mkuu
Ur welcomeGood
Sawa mkuuPoa ngoja nizichek
Usisahau kunitagBado mkuu..naziandaa
Poa mkuuGood 1
Ok..asante kwa maoni mkuu..hahaha inasema jamani dj achiaaa..sio legezaMkuu kazi zako ni nzuri lakini kitu unachotakiwa kujua ni kwamba kazi zako zinasikilizwa na watu wengi wenye rika tofauti tofauti kwahiyo baadhi ya vionjo ungejaribu kuvipunguza. Kwa mfano mwanzoni mwa mixing kuna sauti ya mdada anasema jamani dj legeza sidhani kama upo umuhimu wa kuiweka bora ungetaja jina lako tu ingetosha kukutambulisha
Asante bosi...naupenda sana muziki sijui kwanini...yaan najikuta tu kupenda kitu chocHote kinachohusisha muziki..kiasi kwamba mpk nafanya haya yote..dj,producer,mc,video editor,presenter,n.kNakutakia mafanikio mema katika kazi zako maana unaipenda kazi yako sana
Mkuu kwema;Ok..asante kwa maoni mkuu..hahaha inasema jamani dj achiaaa..sio legeza
Hiyo hiyo mkuu ungekatoa ukabakisha signature yako tu ya dj nasmile basiOk..asante kwa maoni mkuu..hahaha inasema jamani dj achiaaa..sio legeza
Dah sema sitaitumia tena hiyo sauti..kuitoa itakuwa ngumu maana nishauploadz katika mitandao tofautitofauti mkuu.na ishaenea sana kwa fans bosi..ila sitakuwa naiweka tenaHiyo hiyo mkuu ungekatoa ukabakisha signature yako tu ya dj nasmile basi
Naziupload baadae..saiv natumia free basic tu hapaMkuu kwema;
Vp hizo Extended?...
Sawa kakaNaziupload baadae..saiv natumia free basic tu hapa
Kumbe tuko wote. Mwenyewe nimeilewa iko njema haina madoido ni kazi ndio inaongea zaidiNimeielewa sana hii
Ndiyo mkuu jitahidi kupunguza vitu visivyo na umuhimu maana hili jukwaa wanapita watu wengi wakiwemo wamiliki wa vituo mbali mbali vya tv, redio, na clubs kubwa pia kazi unazoweka hapa zinaweza kuwa ni sehemu ya usaili wako. Kwahiyo kadri unavyofanya kazi kwa ufanisi ndivyo unajiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kupata bingo toka kwa wadau.Dah sema sitaitumia tena hiyo sauti..kuitoa itakuwa ngumu maana nishauploadz katika mitandao tofautitofauti mkuu.na ishaenea sana kwa fans bosi..ila sitakuwa naiweka tena
Asante mkuu.nitazingatia hili..asante pia kwa dua zako..naweza kupata mchongo wa kazi kumbe eehNdiyo mkuu jitahidi kupunguza vitu visivyo na umuhimu maana hili jukwaa wanapita watu wengi wakiwemo wamiliki wa vituo mbali mbali vya tv, redio, na clubs kubwa pia kazi unazoweka hapa zinaweza kuwa ni sehemu ya usaili wako. Kwahiyo kadri unavyofanya kazi kwa ufanisi ndivyo unajiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kupata bingo toka kwa wadau.
Ni just ushauri tu lakini.