Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Afu mkuu nifanyie wepesi kwenye hizi extended/Intros

hapa chini;
[emoji116] [emoji116] [emoji116]

Young Gully _ No way extended

Ayo jay_ your Number extended

Tok _Gal yuh a lead extended

Nikizipata nitakushukuru sana, sana sana, japo kukulipa kwa wema wako sintoweza mkuu.

Natanguliza shukrani, [emoji120] [emoji120] [emoji120].
Poa ngoja nizichek
 
Mkuu kazi zako ni nzuri lakini kitu unachotakiwa kujua ni kwamba kazi zako zinasikilizwa na watu wengi wenye rika tofauti tofauti kwahiyo baadhi ya vionjo ungejaribu kuvipunguza. Kwa mfano mwanzoni mwa mixing kuna sauti ya mdada anasema jamani dj legeza sidhani kama upo umuhimu wa kuiweka bora ungetaja jina lako tu ingetosha kukutambulisha
 
Ok..asante kwa maoni mkuu..hahaha inasema jamani dj achiaaa..sio legeza
 
Nakutakia mafanikio mema katika kazi zako maana unaipenda kazi yako sana
Asante bosi...naupenda sana muziki sijui kwanini...yaan najikuta tu kupenda kitu chocHote kinachohusisha muziki..kiasi kwamba mpk nafanya haya yote..dj,producer,mc,video editor,presenter,n.k
 
Hiyo hiyo mkuu ungekatoa ukabakisha signature yako tu ya dj nasmile basi
Dah sema sitaitumia tena hiyo sauti..kuitoa itakuwa ngumu maana nishauploadz katika mitandao tofautitofauti mkuu.na ishaenea sana kwa fans bosi..ila sitakuwa naiweka tena
 
Ndiyo mkuu jitahidi kupunguza vitu visivyo na umuhimu maana hili jukwaa wanapita watu wengi wakiwemo wamiliki wa vituo mbali mbali vya tv, redio, na clubs kubwa pia kazi unazoweka hapa zinaweza kuwa ni sehemu ya usaili wako. Kwahiyo kadri unavyofanya kazi kwa ufanisi ndivyo unajiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kupata bingo toka kwa wadau.
Ni just ushauri tu lakini.
 
Asante mkuu.nitazingatia hili..asante pia kwa dua zako..naweza kupata mchongo wa kazi kumbe eeh
 
Back
Top Bottom