Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Mkuu nimeanza moja juu kabisa ila sijaiona flashback vol 1,niliyonayo ni volume 2Shukran mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimeanza moja juu kabisa ila sijaiona flashback vol 1,niliyonayo ni volume 2Shukran mkuu
Asanteee karibu sanaUmetisha sana mtaalam keep it up[emoji109]
Mkuu kuna kazi hiyo vitu vya zamani ni dhahabu ujue, vuta muda ongeza list na fanya yakoAsanteee karibu sana
baadhi zipo humu humu hizo mkuu..ngoja nikutafutie post namba ngapi...hizo zingine nitamixx usijariMkuu kuna kazi hiyo vitu vya zamani ni dhahabu ujue, vuta muda ongeza list na fanya yako
Remmy ongala
Madilu system
Pepe kalee
Oliver ngoma
Kongo man
Tilda sweet mother
Mbaraka mwinshehe-mtaa wa saba
Kilwa jazz band
Moro jazz band
Franco-mamou
Gato
Sister P - Hey Dj
GWM - Jela
Kali P - Imekaa vibaya
Zay B - Gado
Wachuja nafaka - Ya leo kali
Fagio la chuma - Fagio la chuma
K Sal - Mwana mkiwa
Mwana Fa - Safi hiyoo
Sugu - Sugu moto chini
Dataz - Mume wa mtu
Tmk majita - twende
AY - Raha tu
J Moe - Bishoo
University corner - T shirt na jeans
Gwangwe Mobb - tunajirusha
Afande Selle - PESA
Fid Q - Huyu na Yule
Man Dojo &Domo kaya - nikupe nini
Ebby Skillz - Nilikupenda
K - Basil - Riziki
Dudubaya - Nakupenda tu
Dudubaya - kunguru hafugiki
Solo thang - mambo ya pwani
Bab Lee - kizizi
Farida - Pesa
Mr. Mi mmasai
Safi mkuu wa kazi [emoji106]![]()
Dvj nasmiletz- THE GREATEST 100 BONGO FLAVA OLDS (1-50)
by deejay nasmiletz on hearthis.at | Clubshearthis.at
Sawa mkuu upo vizuri, ni bandika banduabaadhi zipo humu humu hizo mkuu..ngoja nikutafutie post namba ngapi...hizo zingine nitamixx usijari
Pamoja kiongozSafi mkuu wa kazi [emoji106]
Hahaha hakuna kulalaSawa mkuu upo vizuri, ni bandika bandua
Updates za leo umeonaUzi wa maana sana huu
Yaan kuna ngoma nazieleewa sna humo..mfano london beat-thinkin about you,thriller,tarzan boy n.kNdiyo nasikiliza hapa upo vizuri
Sichoki kuisikiliza mzee babaYaan kuna ngoma nazieleewa sna humo..mfano london beat-thinkin about you,thriller,tarzan boy n.k