Mikolo Mileki Mingi
Member
- Jul 18, 2019
- 84
- 47
Mjiandae kwa ajili ya rhumba,soukos ,zouk,
Then south african sngs
Kwaito
Pop
Funk
Flashback
Sebene
Regge
Dancehall
House
Country
Mimi DJ pia,... kuna Extendeds au intros songs nilimuomba jamaa anitumie ila naona amekuwa kimya.Nini tena hiyo
Okey ni hilo ngoja tu atakuja, labda kuna vitu vinamfanya awe busyMimi DJ pia,... kuna Extendeds au intros songs nilimuomba jamaa anitumie ila naona amekuwa kimya
InawezekanaOkey ni hilo ngoja tu atakuja, labda kuna vitu vinamfanya awe busy
Mbona kama nilikupmMkuu mbona Kimya
Nakumbuka nilijib pm kuwa bado sijapata naendelea kuzisaka..Okey ni hilo ngoja tu atakuja, labda kuna vitu vinamfanya awe busy
Sawa kama uko na instrumental beat zake nipe niunde mwenyewe mkuu.Nakumbuka nilijib pm kuwa bado sijapata naendelea kuzisaka..
Ubarikiwe sana mkuuuKesho kuna mizigo kama 5hiv inaingia hapa..NATAKA NIANZE KULIPA MADENI YA REQUEST ZENU
kwema??Kazi Nzuri Sana Man...
Kuna hii play list naimani utaongezea na zako,
1. Lila - I Spy
2. Alpha Blond ft Fally Pupa
3. Kreesha ft Shaggy & Cost
4. jaz elise -For you
5. chronixx - love for you
6. Rosalia ft travis scot - tkn
7. Camilo - Vavorito
8. Clean bandit - mama
9. John legend - dont walk away
10. Busy Signal - Cant Get Enough
bado sijapata muda nitulie nitakuandalia tracKs kibao tena sio kukupa majina kama hivi nitakutumia kabisa... kuhusu za bongo fleva zile Old nitafanya kukuunga na magroup ya nyimbo hizo whatsapp na telegram.
Mix hatari sana hiiiiDVJ NASMILETZ RAGGA MAFFIN&DANCEHALL S MIXCRATE (1)
by Dvj nasmile on hearthis.at | Otherhearthis.at
Thanx kiongozMix hatari sana hiiii
Hahahahah nashukuru mkuu..ngoja niendelee kukaza...Ila mzee baba kwenye Reggae & Dancehall we ni mnyama kinomaaa dvj nasmiletz
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ukipata time tuwekee mix ya ragga and danceall vol 3 mkuuHahahahah nashukuru mkuu..ngoja niendelee kukaza...
Hamna noma..mkuu vitu vya weekend hivo nitatupiaKama ukipata time tuwekee mix ya ragga and danceall vol 3 mkuu
Slow jams vipi mzee, wengine tunapenda usiku pale tunalala na vinyimbo laini kidogo hebu fanya maajabuHahahahah nashukuru mkuu..ngoja niendelee kukaza...
Hilo eneo yupo vizuri sanaKama ukipata time tuwekee mix ya ragga and danceall vol 3 mkuu
Slow jams vipi mzee, wengine tunapenda usiku pale tunalala na vinyimbo laini kidogo hebu fanya maajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo humu.mkuu angalia vizuri post ya kwanzaSlow jams vipi mzee, wengine tunapenda usiku pale tunalala na vinyimbo laini kidogo hebu fanya maajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha pamoja mkuu