Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Hahah aisee,stress zinaua.

Mchangie msela chochote aendelee kuwashushia vitu,asante asante ashapewa nyingi sana hazimsidii tena
 
Hahah aisee,stress zinaua.

Mchangie msela chochote aendelee kuwashushia vitu,asante asante ashapewa nyingi sana hazimsidii tena
Sasa kati ya mimi na wewe nani ana stress hujui hata maudhui ya hizo mix umekosa hata mbs za kuzipakua halafu unachafua hata hali ya hewa humu, kama ungekua umezipakua ungeshatuma chochote pia kuwa mstari wa mbele aisieh fanya hivyo we inakuhuma nini, halafu nani amekuambia maneno hayamtii moyo au wewe ni bahasha wake alikuambia ana shida sana mpaka umpigie kampeni, tulia basi umejiunga juzi jf unaanza kubwabwaja kamasi nyingi mpaka kidevuni
 
Hahah bro umeshamtumia chochote au bado unalia lia?
 
Hahah bro umeshamtumia chochote au bado unalia lia?
Nitamtumia nikijisikia ila sio kwa shuruti wala kwa kuambiwa ni hiari yangu jifunze kutovuka mipaka, usiingilie uhuru wa mtu kaa kwenye mipaka yako na ujifunze kuheshimu hilo
 
Hivi unajua ya bedroom sikuwahi isikiliza niliona niisikilize leo ndiyo nikajua nilikurupuka kutoicheza ni hizo songs ni za moto mno, tena nyimbo nyingi ni za 2000-2011 upo vyema
Hahahaha..poa mkuu
 
Kazi nzuri kiongozi,keep it up.
Nakumbuka enzi hizo tunapiga ngoma za kina backstreet boys, westlife, celine dion, mariah carey, whitney houston,dah hatariiiii.
Mziki wa zamani ulikuwa na hisia tofauti sana na wasasa.
 
Safi sana mkuu... Zile ngoma za club bangers ni balaa.. hasa zIle ngoma nne za mwanzo maana bit zinaendana... Je unaweza kuedit na kuweka ngoma zinazoendana biti na zile nne za mwanzo? Fanya mixing hata na za ulaya, america n.k... maana nazihitaji sana.. Nitashukuru sana..
 
Club bangers vol ngap mkuu maana zipo nyingi humu
 
Kazi nzuri kiongozi,keep it up.
Nakumbuka enzi hizo tunapiga ngoma za kina backstreet boys, westlife, celine dion, mariah carey, whitney houston,dah hatariiiii.
Mziki wa zamani ulikuwa na hisia tofauti sana na wasasa.
Saiv wanatufundisha matusi mapya
 
Kijukuu - Young Dee
Mimi - Geezy Mabovu
Fid Q. Com - Fid Q
Nnaposimama - Langa ft Chid Benz
Zamu yangu - Joh Makini
Hawatuwezi - Nako 2 Nako
Bado nipo nipo - Mwana Fa
Habari ndiyo hiyo - Ay/ Fa
Hapo sawa - Prof Jay
Wanashangaa - Jcb ft Jay moe
Style tatu - Stoper wa Rhymes
Umoja ni nguvu - Kalapina
Rafiki wa kweli - Langa
Nyakati za mashaka - Nikki Mbishi
Zima - Nash Mc
13 - Young killer ft Fid Q
Soga za Mzawa - One Incredible
Kimbia - Babuu wa kitaa
Mtaa kwa mtaa remix - Country Boy
Hasi 15 - Nash Mc
Songa - Usiku
Mia - Solo Thang
X - King Zilla
Nimekasirika - Nyandu Tozzy
Mstari wa mbele - Kalapina
Power - Nikki Mbishi, Mkoloni, Mansu Lee
Nasema nao - Nay wa Mitego
Dar es salaam stand up - Chid Benz
Ziro - Whitness Ft Fid Q
Nawakilisha - Chiku K
Una feel aje - Pink
Professional - Fid Q
Sugu - Rayvanny

Mkuu hebu fanyia kazi hii list hutakosa ya soda.
 
Hahaha poa
 
Nimeanza kuzisort hii playlist yako nahis kesho itakuwa poa..nilikuwa najaribu mitambo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…