Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Hahah aisee,stress zinaua.Wanufaika tuko wengi sana, nalushangaa hunaweka kikwazo cha kuto appreciate kazi yake,ni kwakuwa umekosa hata mbs za kuzipakua basi roho inakuhuma sana, wewe unahisi nawasiliana nae hapa tu, sifanyi vitu kwa kuwafurahisha watu nafanya kwa interest zangu, pia acha shobo sana we mtoto wa kiume
Mchangie msela chochote aendelee kuwashushia vitu,asante asante ashapewa nyingi sana hazimsidii tena