Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Hapana utakuwa unakosea...hizo za sekunde 57 ni tangazo tu kule youtubeHata mimi kunanishinda huko, niki_download inachukua part tu ya second 57 nikiingia Vidmate nako inagoma
Ina maana mpaka nilipie 3,000/ ?
Kwa mtu anayetaka special mixing ni elf 3 tu... yaani unanipa list ya nyimbo au maelezo ya stail ya nyimbo unazotaka kisha mm nakutengenezea mix...
Ila hizi ninazotengeza kwa idea yangu naziweka hapa bure
Sijatazama kilichomo ndani, nimeona tu ni Gospel nikakukumbuka basiii..Carly una utani πππ, hakunaga slope ya hivi
Nimesubiri jana hadi kukachuchwa, mwishoni naambulia hii tag ππ, Carly umeanza lini fixSijatazama kilichomo ndani, nimeona tu ni Gospel nikakukumbuka basiii..
Jamani Eyce mdogo wangu, nilikuwa na mambo lukuki I did tell you, Ila Leo uhakika I swear..!!Nimesubiri jana hadi kukachuchwa, mwishoni naambulia hii tag ππ, Carly umeanza lini fix
Nasubiri tu dada mkubwa βΊ, Leo fanya kweli carlyJamani Eyce mdogo wangu, nilikuwa na mambo lukuki I did tell you, Ila Leo uhakika I swear..!!
Mdogo wangu huniamini mpaka naona aibu..!Nasubiri tu dada mkubwa βΊ, Leo fanya kweli carly
Kuna maelezo nimetoa hapo juu.jinsi ya kudownloadNimeshindwa kuzidownload...
Mnazungumzia nnNimesubiri jana hadi kukachuchwa, mwishoni naambulia hii tag ππ, Carly umeanza lini fix
Fanya hivyo dada mkubwa, regain your reputation πMdogo wangu huniamini mpaka naona aibu..!
Sikuwa hivi Mimi jamani..!
Mazungumzo binafsi flani kutokana na hiyo tag za hizo nyimboMnazungumzia nn
sawaMazungumzo binafsi flani kutokana na hiyo tag za hizo nyimbo
sawaMazungumzo binafsi flani kutokana na hiyo tag za hizo nyimbo
Mbona hauonekani