Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Hata mimi kunanishinda huko, niki_download inachukua part tu ya second 57 nikiingia Vidmate nako inagoma
Ina maana mpaka nilipie 3,000/ ?
Hapana utakuwa unakosea...hizo za sekunde 57 ni tangazo tu kule youtube


Ila ukitaka nzima nenda kwenye link ninazoweka hum
 
Nimeshindwa kuzidownload...
Kwa mtu anayetaka special mixing ni elf 3 tu... yaani unanipa list ya nyimbo au maelezo ya stail ya nyimbo unazotaka kisha mm nakutengenezea mix...

Ila hizi ninazotengeza kwa idea yangu naziweka hapa bure
 
Nimesubiri jana hadi kukachuchwa, mwishoni naambulia hii tag 😂😂, Carly umeanza lini fix
Jamani Eyce mdogo wangu, nilikuwa na mambo lukuki I did tell you, Ila Leo uhakika I swear..!!
 
Mzigo wa ngoma mpya za bongo

Unadondoka soon

Bongoflava'niger'amapiano

poster_2022-04-22-052330.png


 
Back
Top Bottom