Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Kazi nzuri sana mkuu dvj nasmiletz sema ongeza kwenye Quality ya mziki sio zote ila Kuna baadhi zina Low quality kitu ambacho kinaondoa ladha
ok nahisi itakuwa ninavozi convert zinapungua ubora...lakini haya yote ni kwa sababu ya vifurushi vyetu vimepanda bei kinoma alafu mb chache..kwa hiyo utakuta mb 100 unafosi iwe mb 70
 
Jiandaeni kwa new mixtape soon nikipata mb

Kuna jay melody
Barnaba
Marioo
Mind
Alikiba
Kusah
Na wengine kibao nyimbo zilizotoka agost hii
 
Back
Top Bottom