dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
- Thread starter
-
- #801
Nimeusikiliza uko poa kabisa.Next mzigo usisahau kuweka ngoma mpya mpya nyingi kama sugarcane ya camidoh,Jay Melody nakupenda na nyingine nyingi.Ila uko Njema Mimi nilishadownload mzigo.Mzigo mpyaa huu hapa
poa poa..mkuu kesho itakuwa tayari nadhanNimeusikiliza uko poa kabisa.Next mzigo usisahau kuweka ngoma mpya mpya nyingi kama sugarcane ya camidoh,Jay Melody nakupenda na nyingine nyingi.Ila uko Njema Mimi nilishadownload mzigo.
Playlist nzuriMzigo mpyaa huu hapa
asantePlaylist nzuri
Usizikatishe sana nyimbo.Maoni yenu tafadhali
sawa mkuuUsizikatishe sana nyimbo.
Kazi nzuri sana mkuu dvj nasmiletz sema ongeza kwenye Quality ya mziki sio zote ila Kuna baadhi zina Low quality kitu ambacho kinaondoa ladhasawa mkuu
ok nahisi itakuwa ninavozi convert zinapungua ubora...lakini haya yote ni kwa sababu ya vifurushi vyetu vimepanda bei kinoma alafu mb chache..kwa hiyo utakuta mb 100 unafosi iwe mb 70Kazi nzuri sana mkuu dvj nasmiletz sema ongeza kwenye Quality ya mziki sio zote ila Kuna baadhi zina Low quality kitu ambacho kinaondoa ladha
asante mkuu...nitaongeza juhudKazi nzuri