Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Mkuu mambo vp,nahitaji ngumu za zamani kidogo,2pac nyimbo zake zote na wengineo
 
Mkuu mambo vp,nahitaji ngumu za zamani kidogo,2pac nyimbo zake zote na wengineo
Kama ni playlist yako ni tsh 3000 tu...muda ni saa 1.20dk

Ila kama ni playlist yngu ni free...

Namaanisha ukitaka nimix nyimbo ambazo utanitajia ww zisikosekane..ni tsh 3000

Lakini nikimix nyimbo ninazojua mimi...ni bure mkuu


Mfano naweza nikamix playlist ina nyimbo DEAR MAMA......

Kumbe wewe Unaipenda CALFONIA LOVE...

0627474141
 
Ok,ntakutafuta,alaf unapatikana dar au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…