Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Nazitafuta zile sweet reggae kama nice nice to know you lets do it again [emoji3]
 
Hata mimi hii nitaifurahia huwa nazifuata YouTube za kina jarule, sisqo, r. Kelly, destiny child, nelly dilemma na nyingine nyingi hebu atuweke hii kitu
Ipo humu nishaiweka angalia post zote
 
Taja majina niwacheki YouTube
 
Ungeweza irudia hii bila madoido mengi na scratching nyingii ingependeza sana mkuu, nyimbo za dini zina na test zake ukichanganya na makelele unaweza ukapoteza hamu kusikiliza
Weng wameilalamikia hizo mbwembwe nikahaid vol 2 nitatoa hizo fujo
 
Unaweka mbwembwe nyingi. sana ambazo hazina maana..

Bado sana, angalia mixings za wenzako utajifunza mengi, kuna mixing ninayo ya oldies za 1980s and 90s yule Dj anajua sana, nikicheki jina lake ntakupatia
Weka hapa tumfukue YouTube
 
Ndio..kimeangalia chini..nashindwa kuscreen shot hapa
Sawa mkuu, unazipost kwenye site gani na kuna faida uniapata huko unapoziweka!? maana ungepata manufaa kama unazipost sehemu utakapo lipwa kwa view, na wadau humu tumekukubali na tutakupa support
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…