Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vol 2 slow rhumba mixMkuu nasubiri mix tape ya rhumba.
Hahahahaplaylist hadi zuchu yupo...
nyimbo za mapenzi zenye mambo ya kishenzi siziwezi...ZIMAAA
View attachment 1704052
niwekee playlist za kigumu kina makanta, nikki mbishi nije ni stream
Mkuu ulevi wangu ni music, kipindi tukiwa primary na o level sisi ndio tulikuwa tunakausha battery za radio za wazee, mzee kairud battery chini kabisa wakat kanunua mwenyewe National mpyaa anaondoka kwenda mizunguko yake.Hahahaha
Karibu mzee..tunakula burudan hukuuzi umetulia sana cjui n kwa sababu ya kile nikipendacho labda
Yaann iko hivo mzee..ila sio wote wanavimba..japo %kubwa wanajiona ni almas hatari..tunavimbiana mpaka wenyewe kwa wenyewe hahaha..Mkuu ulevi wangu ni music, kipindi tukiwa primary na o level sisi ndio tulikuwa tunakausha battery za radio za wazee, mzee kairud battery chini kabisa wakat kanunua mwenyewe National mpyaa anaondoka kwenda mizunguko yake.
Nipende kusema tu nashukuru kwa huu uhondo hapa, na endelea kutupa updates zaidi, maana shida ya maDj wa bongo ni kuvimba sijui vile vyombo huwapaga nini akilin mwao, ww naona uko cooperatives.
Ila hili la Dj kuvimba toka disco vumbi kijijin kule, unae da disco huna 50 ya kiingilio halafu mwana ndio Dj, ile anakatiza unamuita alikuwa anakukaushia, pili videmu vyote vikali ndo ananesa nesa navyo,
Anyway nimechomekea kidogo
Nitakutafutia nataka jingle za ka pub kama unaweza zitengeneza
Karib mkuu zipo nyingi..humu ma kila nkipata nafas nitazid kuzimix na kuupload hapanimepakua moja bongo zaman n kwere boss
Nawe pia mkuu barikiwa piaUmenitendea wema sana mkuu, ubarikiwe sana
Sawa bossUpo vuzuriiiii sana mkuu, nikuombe kitu mkuu naomba uje pm unitumie links plz
Djay; djay - DJ App & Mixer - Apps on Google PlayUpo vuzuriiiii sana mkuu, nikuombe kitu mkuu naomba uje pm unitumie links plz
Ahsante mkuu ila kuna hii edjing naona ni ya kulipia elfu 50,Djay; djay - DJ App & Mixer - Apps on Google Play
Cross Dj; Cross DJ Free - dj mixer app - Apps on Google Play
Edjing Mix; edjing Mix - Free Music DJ app - Apps on Google Play
Enjoy mkuu
John Dilunga kitambo sanaSawa nasubiri Oldies R&B nimezimiss sana ,Aboubakar Sadiq kwa fujo alikuwa anazigonga sana enzi ya chombeza.
Pia Oldies za 2003 kushuka chini za Bongo fleva kama unamjua DJ JD anaweza akakupa mapini ya zamani.
Kuhusu bpm sio kweli..bpm zinaendana coz huwa nazisort before sjaanza mix..kama zipo ni chache sana..mfano hebu nitajie ni nyimbo gani hazijaendana bpm?.Mwanangu kwenye kumix nyimbo bado, maana nyimbo zenye BPM tofauti unataka unataka kuzisync pamoja......
Afu kwenye kutengeneza mixing playlist huwezi nyimbo ikaanzia INTRO mpaka inakaribia kuisha ndo unabadilisha..
Namkubali sana jamaaJohn Dilunga kitambo sana
Mkuu naomba ile ya Hit songs 2021.Namkubali sana jamaa
Download app ya Happymod, apps zote za kulipia play store utazipata bure.Ahsante mkuu ila kuna hii edjing naona ni ya kulipia elfu 50,