Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Tsh 3000 mkuu..nishazimixMkuu nilikuomba sana unifanyie mpango wa zilipendwa,,,kina marijan rajab, juwata jazz,kama hutojali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tsh 3000 mkuu..nishazimixMkuu nilikuomba sana unifanyie mpango wa zilipendwa,,,kina marijan rajab, juwata jazz,kama hutojali
Chief habari,ninaomba kama una mix za kisouth(Amapiano) hizi zinazobang club
Nimekukumbusha nn mkuuThanks bro umenikumbusha mbali sana
AppreciatedSeries ya PAINKILLERS BONGO FLAVA BADO INAENDELEA HAPA..HII NI VOL 5
![]()
DVJ NASMILETZ--bongoflava painkillers vol 5 (feb 2022)
by Dvj Nasmiletz on hearthis.at | Otherhearthis.at
pamojaAppreciated
Add bookmarkAngalia vizuri kuna batani imewekewa kialama cha mshale unaotazama chini hivi...haijaandikwa download kipo kialama tu cha mshale mkuu
Pamoj sanPainkiller vol 6 hii hapa
![]()
factkisichonifurahisha ni kuwa waimbaji wengi wa kitanzania siku hizi wanakazania kuimba sauti inayofanana kwa kuilegeza kupita kiasi. Akiamua kutolegeza sauti basi anaimba kinigeria. Sioni waimbaji waliokuwa na sauti zao distinct kama ilivyokuwa zamani ambapo ulikuwa ukisikia waimbo wa Bazil, unajua fika kuwa huyo ni Bazil, na ukisikia wimbo wa Alicom, unajua kuwa anyeimba ni Alicom, siyo mwingine. watu wanaposifia kuwa mziki wa bongo umeendelea huwa nashindwa kuwajibu. Inawezekana kuwa umetambulika duniani kwa vile wabongo wamefanya kolabo nyingi huko nje, lakini siyo kuwa umeendelea kwa kujitambulisha ulivyo. Ni tofauti na jinsi muziki kama wa Olver Ngoma, kwa mfano ulivyotambuliwa kama ulivyo bila kulazimisha kushirikiana na wengine. In fact muziki kwa jumla umesinyaa.