Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyuma vikali kabsa..... v1 unyama mwingiHizo hapo ni bongo flava kitambo sana...ziko vol 1-3 karibuni.... kwa udhamin mkubwa wa Mhandisi Mzalendo
Nimedhamini pambano jingine....Hizo hapo ni bongo flava kitambo sana...ziko vol 1-3 karibuni.... kwa udhamin mkubwa wa Mhandisi Mzalendo
Bei niNaomba mixing kwa Ajili ya Jogging singeli za Kama Masaa 2.
.Mama
tsh 3000 yako namba 0679028418
Bei 3000 tuma kwa 0679028418.. afu njoo wasapNaomba mixing kwa Ajili ya Jogging singeli za Kama Masaa 2.
.Mama hidaya-Ianze.
KaribuNimepanda bus
AsanteeeNimekubali Mkuu DJ
Kama mambo yenyewe ndio haya Basi,Hapa J.f.3000/= ninayo ila utaratibu Umenishinda.Bei 3000 tuma kwa 0679028418.. afu njoo wasap
Utaratibu upi uliokushinda wa kutuma pesa auKama mambo yenyewe ndio haya Basi,Hapa J.f.3000/= ninayo ila utaratibu Umenishinda.
Hata mimi kunanishinda huko, niki_download inachukua part tu ya second 57 nikiingia Vidmate nako inagomaUtaratibu upi uliokushinda wa kutuma pesa au
Mbona mm zinapiga ile mbaya yaani kiukweli jamaa ni fundi aisee sijui unakwama wapiHata mimi kunanishinda huko, niki_download inachukua part tu ya second 57 nikiingia Vidmate nako inagoma
Ina maana mpaka nilipie 3,000/ ?
Asante mkuu..nipo napambanaMbona mm zinapiga ile mbaya yaani kiukweli jamaa ni fundi aisee sijui unakwama wapi
Kwa mtu anayetaka special mixing ni elf 3 tu... yaani unanipa list ya nyimbo au maelezo ya stail ya nyimbo unazotaka kisha mm nakutengenezea mix...3000 Tena?..