Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
server ina tatizo sijui..kila nikiupload haimaliziMbona hauonekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
server ina tatizo sijui..kila nikiupload haimaliziMbona hauonekani
Mbona hauonekani
Mkuu samahan nikidownload inafail sijui kwann![]()
Wale akina kusah
Otile
Harmonize
Diamond
Macvoicce
Alikiba
Wote wapo humu kwa nyimbo zao mpya
![]()
inaandikaje
Inaniandikia download failinaandikaje
Au jarib kuangalia kwenye file manager ya simu yako..sometimes inadownload kimya kimya na kwenda kukaa kule kwenye file manager upande wa downloads (kama unatumia simu)
Au ni network labda....mbona kwa wengine inakubal..jarib kutumia browser au device nyingine
Dj Nasmile umetisha sana.Hiyo mixing ni kali sanaaa.Siichoki kuisikilizaAu ni network labda....mbona kwa wengine inakubal..jarib kutumia browser au device nyingine
Mkuu! Natafuta Playlist yenye Ngoma ya Gangwe mobb NGANGARIAu ni network labda....mbona kwa wengine inakubal..jarib kutumia browser au device nyingine
Hiyo sijaifanyia katika playlist yeyote..Mkuu! Natafuta Playlist yenye Ngoma ya Gangwe mobb NGANGARI
Asante sana mkuu.Dj Nasmile umetisha sana.Hiyo mixing ni kali sanaaa.Siichoki kuisikiliza
Hip za aina gani mkuuMkuu naomba link ya hip hop
nishaziweka humu..angalia post xa nyumamkuu naomba mix za singeli