zipalapwata
JF-Expert Member
- Oct 19, 2016
- 290
- 156
Uzi mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi nzuri
Huu mzigo wenyewe kabisa.. nakubali DJ
DAHH UMETISHA MKUU..NASHUKURU KWA SAPOTI...hizi za leo nimeziweka mdundo.com ila nitaziweka na kule hearthis iliyozoeleka bosiNina vyuma vyako hapa na vi enjoy..
View attachment 3022939
Ulizoweka leo mbona nadhindwa download masta.
Nina vyuma vyako hapa na vi enjoy..
View attachment 3022939
Ulizoweka leo mbona nadhindwa download masta.
karibuniAsante Sana Dj.. kwakuniremveshea siku...
Je Naweza nikakutumia track ukazifanyia Mixing?
karibuniUmenibariki Sana ndugu yangu
Niambie Nas.... Big up sana.... Sikudhani siku moja tutakutana huku... Keep up the good work 💪🪖karibuni
vile vile kama unahitaji mixing maalum basi unanipa list ya ngoma unazohitaaji nami nazimix kwa gharama ya tsh 4000/= tu kwa mixing ya saa moja na nusu (90minutes) namba ya mawasiliano njoo pm au nichek 0627474141 .pia unaweza kunikodi kuja kupiga muzik katika shughuli yako.au eneo lako la biashara kama vile,club,bar,party tamasha na mengineyo.. n.k
Hahaha mimi mdau huku tangu 2011 mkuu...sema hizi id sasa hatareeeeNiambie Nas.... Big up sana.... Sikudhani siku moja tutakutana huku... Keep up the good work 💪🪖
Umetisha sanaHahaha mimi mdau huku tangu 2011 mkuu...sema hizi id sasa hatareeee
Mkuu mkuu mpaka leo nilikutumia 10k imepita miezi 8 hujanitumia nyimbo. Namna gani Dj?karibuni