DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Unajua watanzania pamoja na kupenda kwetu hizi timu za kurithi, tuamue nini hasa ni muhimu kwa taifa hili na katika maisha yetu.
Embu msikilize huyu mwamba anachosema kuhusiana na derby ya Kariakoo.
Inakuwaje hadi bungeni eti wanajibizana kuhusu mpira tena katika misingi ya kishabiki, yaani Spika anasema "ehe, mshabiki wa Simba ajibu hoja!" Kweli?
Je inawezekana mashabiki tunapoteza muda kujibizana na kubishana kuhusu hizi timu kumbe kuna wahuni wachache ndiyo wanakaa wanatengeneza matukio yanayohusu hizi timu ili kutupumbaza?
Kesho wakiamua kuipigisha shoti timu fulani wanaweza kufanya hivyo?
Wakiamua fulani amfunge fulani wanaweza kufanya hivyo tena viongozi wa hizi timu hao hao wanabariki matukio haya?
Tumefikaje hapa na tunatokaje maana binafsi sioni mtu yoyote aliyebaki mwenye busara anayeweza kututoa hapa tulipo.