Polepole anasema ''Inaweza kuwepo serikali lakini nyuma yake kuna kikundi cha wahuni ndicho kinaiongoza.
View: https://youtu.be/-FeHe4NDQ-M?si=6yrMa_pUmGz01EMu
Yanayotendeka yaonekana Kwa macho!Polepole smart guy, speed ilikuwa kubwa wakaipunguza kwa kumpa ubalozi. Ilikuwa shule bila ada.
Hii inajulikana sana mbona, and wanaoganya hivyo wapo ila hawaguswi