Sikiliza video hii, uthibitisho kuwa Rais anapitia JF

Nchi hii tuna ombwe kubwa la uongozi.
Wanapenda umbea kama mijusi na huwa inawatoa kwenye reli
 
Hapo ndipo anatuangusha wanawake wenzake
 
Dah, kama Haji mtoto wa Sunday Manara, niwaambieni umbeya mdogo!!, nimeshtuka nikabaki mdomo wazi.
 
Mkuu inaonesha ni kwa jinsi gani alivyo detached
 
Dah!,
Mkuu, 'Chakaza', ningeshukuru sana, hata kama siyo yeye angebahatika kusoma haya uliyoandika hapa, wasidizi wake wayachukue vile vile ulivyoyaweka na kumpelekea akayaone mwenyewe.

Hii ingependeza sana.

Ni wazi kwamba yanayomsumbua zaidi yeye ni yanayosemwa juu yake badala ya kuwekea maanani yanayowahusu waTanzania. Hili ndilo tatizo kubwa la hawa viongozi wetu wa siku hizi.
 
Rais wa nchi anao Uwezo Mkubwa.

Ndiye mtanzania anayepokea taarifa nyingi zihusuyo nchi hii kuliko mwingine; Lakini pia na yeye ni binadamu, anazo hisia.

Tuwe na heshima na sio kutoa kejeli hizi.
Kusema mtu ana uwezo mdogo ni kukosa heshima? What a crap! Wewe unaona rais kulumbana na watu kuhusu idadi ya watu wanaohudhuria mkutano ndiyo heshima? Ni lazima ujue rais anatakiwa kushughulikia mambo makubwa na ya msingi na siyo kupigana vijembe na raia wake. Tanzania ina watu wazima zaidi ya milioni 40, unataka kila mtu awaze namna moja? Ukiwa rais ni lazima ujue kuweka hisia binafsi pembeni.
 
vitu fulani tofauti na binadamu wa kawaida.
Yes, ni tofauti, maana muda wake uko limited! magufuli alitufundisha kuwa erais siyo mwenzetu... atrocities he committed wewe unaweza kuzifanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…