Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Zuzu mwenyewe na Wala usitutukanie Mh Rais wetu anayekubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, Huyu Ni Rais ambaye uchaguzi ukifanyika Leo Hana haja ya kupiga kampenii maana kazi zake zimegusa maisha ya watu ambao huku mitaani kila mtu Yupo tayari kumpigia kura mamaRais zuzu wa mazuzu wa Jamhuri ya mazuzu wa muungano
Mkuu, mbona hili liko wazi..Please please...umekosea sana. Hii si heshima.🙏🙏🙏
Sasa wapi hamna adabu?! Muone ulivyo punguwani !!.Acha matusi kwa Rais wetu wewe, Tena uwe na adabu kwa Rais na mamlaka, Uhuru una mipaka take, uwe na staha katika maandishi yako, fikiri kabla ya kuandika, hata Kama huna wakubwa na hujalelewa katika malezi Bora Basi heshimu wengine
Baada ya kuwashushua wapiga picha waliowekwa na Sukuma gang naona wameanza kujirekebisha..Kuna thread humu ilisema Mh Rais misafara yake haina watu huko kusini, leo amewajibu
View attachment 2322017
uwe na adabu hata Kama huwaheshimu wazazi wako, kwamba hapo ulipo unaakili kuliko watu wa ukanda huo, ungekuwa na akili ungewezaje kuandika utoto ulioandika hapa jukwaaniSasa wapi hamna adabu?! Muone ulivyo punguwani !!.
Kwan kipi Cha ajabu, Wanawake wa nyanda za Pwani, Zanzibar, ni mapenzi na kusutana .
uwe na adabu hata Kama huwaheshimu wazazi wako, kwamba hapo ulipo unaakili kuliko watu wa ukanda huo, ungekuwa na akili ungewezaje kuandika utoto ulioandika hapa jukwaani
Acha ubaguzi wa kikanda maana inakunyima uwezo wako wa kufikiria achilia mbali uwezo wako huo mdogo wa kujenga hoja
Hata suala la ulinzi wake kupungua watu walifungua uzi humu kuhoji leo yupo full nondo na yale majamaa yenye silaha nzito. Itoshe kusema tu huwa anapitia sana humu jf na kule twitter na kwa mtindo huu tusahau kushuka kwa bei za bando😂😂Kuna thread humu ilisema Mh Rais misafara yake haina watu huko kusini, leo amewajibu
View attachment 2322017
Hayo mabango ulienda nayo lini ukazuiliwa, Rais yupo bize kutatua kero za wananchi, Mh Rais anazidi kuchanja mbuga ndio maana unaona namna watu wanavyomlaki kwa wingi na bashasha,Hizo changamoto zenyewe anazisikiliza sasa au anafanya yake tu yalompeleka. Maana hata mabango ya malalamiko hayataki.
Lakini pia, uwingi wa watu si suluhisho la umaskini kwa walio wengi + kupanda kwa gharama za maisha
Sukuma Gang Tena ?Baada ya kuwashushua wapiga picha waliowekwa na Sukuma gang naona wameanza kujirekebisha..
Picha za Leo Iringa 👇
Kumbe ulidhani Rais Kaongea kwa bahati mbaya?S
Sukuma Gang Tena ?
Ndio maana nikasema uwezo wako wa kifikra Ni mdogo sanaaa ndio maana umejaa matusi matupu bila hoja, Hata hivyo Namheshimu kila mtu hata ninayetofautiaana Naye, hivyo siwezi nikakutukana maana siyo desturi yangu, Namheshimu utu wa mtu yeyote yule, Mungu akujalie hekima na busara, japo Kama ndio imekuwa hivyo tangia udogo wako itakuchukua muda kurudi katika Hali ya ubinadamuWewe ni Lijinga la kwanza
Wewe ni lijingaaaaaNdio maana nikasema uwezo wako wa kifikra Ni mdogo sanaaa ndio maana umejaa matusi matupu bila hoja, Hata hivyo Namheshimu kila mtu hata ninayetofautiaana Naye, hivyo siwezi nikakutukana maana siyo desturi yangu, Namheshimu utu wa mtu yeyote yule, Mungu akujalie hekima na busara, japo Kama ndio imekuwa hivyo tangia udogo wako itakuchukua muda kurudi katika Hali ya ubinadamu
Wewe naye, huna tofauti na huyu 'chawa'Hayo mabango ulienda nayo lini ukazuiliwa, Rais yupo bize kutatua kero za wananchi, Mh Rais anazidi kuchanja mbuga ndio maana unaona namna watu wanavyomlaki kwa wingi na bashasha,
Rais amekonga nyoyo za watanzania kwa kugusa maisha ya watanzania wote walio tayari kulijenga Taifa hili
Rais anapendwaa Sanaa hapa Tanzania, anapendwaa Sana na watanzania kwa kuwa anaendelea kutatua matatizo na kero za wananchiRais Samia anachanganya sana mambo, asante kwa kujibu hoja. Wananchi hawakupendi kwa sababu hutatui changamoto yaani mawaziri wa Rais wanajichanganya mpaka mtu anasema mwaka 1904. Fanyeni hivi, tumeni timu yenu waende watafute matatizo, Rais Samia tatua hata tatizo moja, mengine waachie mawaziri. Ukitatua hata changamoto tano au tatu kila unaposimama yaani utapendwa. Pia kingine Rais Samia ni ngumu sana watu kukuelewa kwa sababu mafuta bei sasa ni 3400 plus, maisha ni magumu, fanya jambo bei ishuke ifike 2400 utapendwa
Cc mpwayungu villagenajaribu kuutafuta sijaupata
Hivi uko serious ?Kwa hiyo ulitaka muendelee kuongea uwongo na kudanganya watu humu, baada ya kuumbuliwa uongo wenu mnaanza kuhamisha magoli
, Rais Samia suluhu Hassani anakubalika Sana na wananchi ndio maana unaona mafuliko ya watu kila anakopita katika ziara zake,
Mbeya Alipokelewa kwa kishindooo Hadi nafasi ilikuwa haitoshi pakusimama tu
Yaani binadamu, dah!!!Hii inaonyesha uwezo mdogo alionao katika kupokea yanayomhusu.
Mengi yanajadiliwa ambayo ni challenge katika uendeshaji wa shughuli zake za kiserekali yenye faida kwa taifa, lakini yeye anaona muhimu ni hayo ya vijembe na kusutana kulikojaa umbea kama alivyosema.
Anaanza kuwa kama Manara
Wengine hiyo ndo sababu yao kuu ya kuwa hapa duniani, so just relax!!Rais wa nchi anao Uwezo Mkubwa.
Ndiye mtanzania anayepokea taarifa nyingi zihusuyo nchi hii kuliko mwingine; Lakini pia na yeye ni binadamu, anazo hisia.
Tuwe na heshima na sio kutoa kejeli hizi.
Jibu swaliHivi uko serious ?