The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Mapenzi gani..... Bora useme ni ushamba unawaoeleka ili waone MaV eighty ya Polepole .....!!Ndugu yangu Tindo Hakuna Anaye shurutishwa kuhudhulia mikutano ya mh Rais, watu wanahudhulia kwa upendo mkubwa walio nao kwa mh Rais wetu
Watu wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais ndio maaana unaona namna anayoendelea kuungwa mkono na watanzania
Hapana Wala hawaendi pale kushangaa magari ,wanakwenda kumsikiliza Rais wao na wetu sote watanzaniaMapenzi gani..... Bora useme ni ushamba unawaoeleka ili waone MaV eighty ya Polepole .....!!
WENGI IMEFUNGUKA NADHANI TATIZO LIKO KWAKO. TAFUTA MTU AKUSAIDIE PLEASEMbn haifunguki
Wewe umejitoa akili. Usinilazimishe kupoteza muda wangu na upunguani wako.Huoni namna wanavyomlaki Rais wetu huko mitaani, Sasa wewe endelea na chuki zako hapo hapo ulipokaa huku mh Rais akiendelea kuchapa kazi na Watanzania tukiendelea kumuunga mkono mh Rais wetu
Acha mama aendelee kuchapa kazi na Watanzania tunamuelewa mama, Bali na chuki zako,Wewe umejitoa akili. Usinilazimishe kupoteza muda wangu na upunguani wako.
Sina muda na takataka zako. Huelewi?Acha mama aendelee kuchapa kazi na Watanzania tunamuelewa mama, Bali na chuki zako,
Sasa unajibu Nini hapaSina muda na takataka zako. Huelewi?
Utakuwa ndiye mama wewe, si kwa kutetea huko!.Rais wa nchi anao Uwezo Mkubwa.
Ndiye mtanzania anayepokea taarifa nyingi zihusuyo nchi hii kuliko mwingine; Lakini pia na yeye ni binadamu, anazo hisia.
Tuwe na heshima na sio kutoa kejeli hizi.
Hahaha! Sawa mkuu.Utakuwa ndiye mama wewe, si kwa kutetea huko!.
Hao wote wameletwa na matela ya trekta vijijini huko wakawekwa barabarani, kwanza serikali yenye adabu kamwe haiwezi kusimamisha watu mabarabaranimpwayungu village njoo huku wee ndio ulileta uzi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Kichwa Cha Habari ilibidi kisomeke hivi "Rais Samia Amjibu mpwayungu village wa JF"
Mbona hao ni ccm wananchi wa kawaida wapo wapiBaada ya kuwashushua wapiga picha waliowekwa na Sukuma gang naona wameanza kujirekebisha..
Picha za Leo Iringa [emoji116]
Tinataka dictator kama Hitler mzalendo kwelikweliNatamani rais ajae awe dikteta, yani dikteta wakweli, wanaomdhihaki mama huyu sijui wataonyesha wapi sura zao.