BARD AI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 3,591 Reaction score 8,826 Jul 31, 2023 #1 Your browser is not able to display this video. Wimbo wa Kiafrika hatimaye umetoka... Ni kwa Kiswahili kwa sababu hiyo ndiyo lugha inayozungumzwa zaidi katika Bara la Afrika.
Your browser is not able to display this video. Wimbo wa Kiafrika hatimaye umetoka... Ni kwa Kiswahili kwa sababu hiyo ndiyo lugha inayozungumzwa zaidi katika Bara la Afrika.
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Jul 31, 2023 #2 BARD AI said: View attachment 2703845 Wimbo wa Kiafrika hatimaye umetoka... Ni kwa Kiswahili kwa sababu hiyo ndiyo lugha inayozungumzwa zaidi katika Bara la Afrika. Click to expand... Nashukuru mkuu. Kama kuna wa Tanganyika utuwekee pia, Ila samahani.
BARD AI said: View attachment 2703845 Wimbo wa Kiafrika hatimaye umetoka... Ni kwa Kiswahili kwa sababu hiyo ndiyo lugha inayozungumzwa zaidi katika Bara la Afrika. Click to expand... Nashukuru mkuu. Kama kuna wa Tanganyika utuwekee pia, Ila samahani.
M MzalendoHalisi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2007 Posts 4,679 Reaction score 1,612 Jul 31, 2023 #3 Melody yake haiko vema je ni Wakenya wameimba?
MLIMAWANYOKA JF-Expert Member Joined Oct 25, 2019 Posts 631 Reaction score 2,247 Jul 31, 2023 #4 siyo mzuri.. Tune haijakaa poa Content nyingi ni "ordinary" mrefu sana.
M Mpangawangu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2014 Posts 887 Reaction score 965 Jul 31, 2023 #5 Nyombo za kwaya za kiroma ndio uwe Wimbo wa Afrika?