Sikio kuziba(nta,waxy)

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,155
Reaction score
1,209
Wakuu pole na mihangaiko, nimekuwa nkisumbuliwa na sikio kuziba yaani kushindwa kusikia vizuri.

Marakwamara nilikuwa naenda Kairuki hospital na kukutana na specialist, na walikuwa wananitibu kwa dakika tano tu, kuna kitu walikuwa wanaingiza yaani unatoka uchafu balaa(waxy) baada ya apo nakuwa vizuri.

Wakuu nilikuwa natumia Bima ila sahivi imeisha muda wake, naomba mnisaidie dawa au kitu chochote kinachotibu nta yaani sikio kuziba, lakini ni hospital gani mbali na kairuki wanasafisha vizuri masikio kwa gharama nafuu.


Doctors please msaada
 
Nenda hospitali mkuu
 
Kwanza hao wanatibu kwa bei gani?
 
Ntarudi... Kunahosipital moja IPO tabata jina nmesahau... Ntarudi na jina
 
Nenda hiyo hapo hospital utapata huduma bora kabisa.... Kuna jamaa yangu alipata shida kama yako anasema anaendelea vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…