zinc
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,391
- 1,068
ishu si tu meneja ni kutumia tu akili utvaaje nguo za ovyo ovyo kwenye video yako?
Nguo za ovyo ovyo ni zipi??? Usije na wewe ukawa ni mshamba usiyejijua!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ishu si tu meneja ni kutumia tu akili utvaaje nguo za ovyo ovyo kwenye video yako?
Yaani jinsi Diamond alivyobadili mziki wa TZ ungefikiri wasanii wengine wange muiga lakini wapi. Bado wanarudia makosa yale yale na wanashangaa kwa nini hawafiki mbali. Ally kiba bado anavaa vile vile kwenye steji na kwenye video nguo zile zile anazo zurura nazo mitaani video still mbovu mbovu.
Ommy Dimpoz bado anaona sifa kuringa ringa kutoa video hadi nyimbo yake ya Tupogo inachuja sasa haina video na haoni hasara aliyopata.
Lynex nae hivyo hivyo nyimbo ya mahakama ya mapenzi hadi imechuja haina video wakati mwenzao Diamond nyimbo moja video mbili na zaidi ya million 80 katumia no wonder yuko mbaali huku wao wamebaki hawajui wafanyaje.
Sikio la kufa kabisa hili.
hapa hatufanyi mtihani wa Cambridge.
Diamond pamoja na kazi nzuri anayofanya ila ana tatizo moja kubwa sana kwenye show zake...hawezi kucontrol sauti anapotumbuiza...anacheza vizuri ila anasahau kitu muhimu sana kwa mwanamziki anapokuwa stejini yani kuimba vizuri...Yani unakuta show nzima anacheza tu tena kwa style ile ile na sarakasi kibao ila anashindwa kabisa kuimba anawapa ilo jukumu washabiki matokeo yake wanaboreka sana..anaitaji mtaalamu wa sauti maana zile tyimbe wote zinamwangusha sana,ni bahati sana kama unataka kumuona diamond akiimba live atakuangusha sana. hautakaa usikikie akiimba wimbio mzima vizuri mpk akaumaliza never.
Wasanii wengi wanaupeo mdogo ama mawazo mafupi,hawaangalii mbali,na hawako tayari kuinvest millions kwenye kazi zao,diamond anafanikiwa kwa sababu ameinvest pesa,akili,mawazo and all he have kwenye mziki pasipo.kujali the return,sasa wenzetu hawa anaona bora akafanye shoping ya kijinga na kuspend pesa kwenye mambo ya kijinga kuliko kuspend kwenye mziki
Ni hayo tu kwa kweli