Yes ndiyo imetobokaPole sana aisee, muwaishe IMTU atapatiwa msaada wa kwanza, nadhani atakuwa ametoboka ngoma.
Yes ndiyo imetoboka
yes nina usafiri nanimeelekezwa magomeni muembe chai Luna hospital nzuri Kwa ajili ya kutibu masikio wamebobea ndiyo naelekea kaka.Mkuu zamlock nimekuuliza kama una usafiri binafsi(gari/pikipiki) kama una usafiri nakushauri uamke mapema sana saa kumi na mbili kasoro uwe umefika ccbrt hospital msasani ili kuwahi na vile vile kuepuka usumbufu wa foleni kubwa inayokuwepo hapo hospitalini, mtoto wako atapata huduma anayostahili hapo.
Hapo kuna madaktari bingwa na gharama za matibabu ni nafuu kulinganisha na hospital binafsi.
yes nina usafiri nanimeelekezwa magomeni muembe chai Luna hospital nzuri Kwa ajili ya kutibu masikio wamebobea ndiyo naelekea kaka.
Ungeenda ccbrt ndio ingekuwa vizuri sana. Magomeni mwembechai kuna nyingine inaitwa ekenywa.
Niko ekenywa ndiyo niko kwenye foleni ya kumuona doctor