WanaJF,
Naombeni kufahamu au kuelekezwa nitakapo mpeleka Mtoto wangu Kwa ajili ya matibabu ya sikio kwa sababu nina watoto mapacha wa kike na kiume.
Kilichofanyika wa kiume kachukua kijiti na kumuingizia mwenzake eti anamtoa uchafu ndipo alipimchoma na damu kuanza kutoka.
Nimerudi usiku huu nimemchungulia na mwanga Mkali nikaona ule utandu mweupe umetoboka natakiwa kumpeleka hospital .
Je kama kuna wataalamu humu wa masikio au kuna hospital nzuri nipeni msaada wenu niweze kufika niko dar naishi Tegeta.