Sikio linachimbika : PICHA Msaada mwenye kujua tiba

Sikio linachimbika : PICHA Msaada mwenye kujua tiba

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
468
Reaction score
619
Habari za leo wakuu,

Nina muda wa wiki mbili Sasa Niko porini,

Limeibuka tatizo kwenye sikio langu la kushoto,

Nimeenda hospitali nimetumia dawa nilizopewa lakini hali bado haijatengemaa,

Yeyote mwenye kujua tiba ya tatizo hili au aliyewahi kufikwa na hii shida akaitatua naomba anisaidie alijikwamuaje,

Naambatanisha na picha chini
PXL_20240305_035744245~2.jpg
 
Chukua kitunguu swaumu kama punje 5 zi twange..changanya n kijicho cha asali..paka hta mara 3 kw siku..baada y sku 7 leta mrejesho
Akhsante mkuu ngoja nitumie hii njia,

Nitaleta mrejesho
 
Shukrani sana mkuu

Yes unaweza tumia hizo dawa inaonekana ni infection tu , antibiotic inaweza saidia
Lakini ukikuta umepona lakini baadaye tatizo limerudi tena , basi nicheki nitakutibu kwa Natural ,maana itakuwa shida nyingine !
a1e8db8d-bb88-4a80-998f-785c78412ba9.jpg
 
Back
Top Bottom