Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Habari za leo wakuu,
Nina muda wa wiki mbili Sasa Niko porini,
Limeibuka tatizo kwenye sikio langu la kushoto,
Nimeenda hospitali nimetumia dawa nilizopewa lakini hali bado haijatengemaa,
Yeyote mwenye kujua tiba ya tatizo hili au aliyewahi kufikwa na hii shida akaitatua naomba anisaidie alijikwamuaje,
Naambatanisha na picha chiniView attachment 2924823
Nenda uwahi hosp wakate hapo kwenye sikio