Siko Free nashindwa kulala na Mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa kujamba.

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
576
Reaction score
876
WanaJF nina tatizo linanikabili sijui kama na wenzangu mnalo,nimekuwa siko free na nashindwa kujiachia kulala na mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa nikijamba usiku atanielewaje,nakosa amani kwa kweli kwasababu usiku huwa nikiachia yanatoa sauti sana,kuepusha shari na fedheha nimekuwa nikikwepa kulala naye kitu ambacho mwenzangu bado anaking'ang'ania,nisaidieni hata ushauri namna ya kufanya niwe na amani mwenzenu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Jamba tu kiongozi nisehemu ya kupumua! wewe utaogopa wenzio watalala naye kijana ohooooo
 
Tatizo hujiamini. Yeye mbona akilala anaachia/anayamba zaidi yako?.
 
...kama unaogopa si uache sasa unataka tukuwekee plasta...?mi atasielewi huu uzi unataka nini...
 
Ah hahahh hahaahahaha eid mubaraka.......
 
. Hahahahha jamba beana hata kama unayaachia kama mabomu ya mbagala kuwa huru
 
Hii kali, ila nakushauri ungeomba pia ushauri pale JF DOCTOR.
 
Uwe huru na yeye pia atakuwa huru!!jiachie tu!
 
helo community how are you .its my first time to join jamii forum i dont have more to say but instruct me how to go about
 
Uwe huru na yeye pia atakuwa huru!!jiachie tu!

Nadhani hata yeye hayuko huru coz kuna siku nilijitahidi nikalala naye huwa analala kwa kuotea hana amani sana nikifumbua macho naye anafumbua kuonyesha hayuko huru sana nadhani na yeye anaogopa kuachia,mi huwa najitahidi nikeshe ila nazidiwa ukiona nimelala nimepitiwa tu bt nikistuka huwa naogopa sana nisije nikawa nimeachia.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Boflo alisema "kama ukikaa na mpenzi wako ukaficha kitu kidogo tu kama kujamba, basi huyo mtu hakufai maana atakua anakuficha mengi makubwa"
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…