Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh nimecheka sana..... Anatoa kichwa nje ya shuka kama Kobe
yani nmecheka hd machozi yamenitoka....kweli jf is never borin
funga sound proof kwenye wowowo lako,kumbuka kutupa mrejesho
mkuu umejuaje ukilala huwa unajamba, unafanya makusudi wewe au unajirekodigi unafunga kidaka sauti makalioni
weka KIJAMBIO kwenye MUTE au VIBRATION
Nadhani hata yeye hayuko huru coz kuna siku nilijitahidi nikalala naye huwa analala kwa kuotea hana amani sana nikifumbua macho naye anafumbua kuonyesha hayuko huru sana nadhani na yeye anaogopa kuachia,mi huwa najitahidi nikeshe ila nazidiwa ukiona nimelala nimepitiwa tu bt nikistuka huwa naogopa sana nisije nikawa nimeachia.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums