Siko Free nashindwa kulala na Mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa kujamba.

Kama unamficha mpenzi wako kuwa huwa unajamba, basi utamficha mengi sana!!!! Kwani huoy mpenzi wako unadhani hajui kuwa unajamba?? Vp kuhusu kwenda haja, pia nalo unaogopa?? Ila wewe kiboko aisee!!!!!!!!
 
We usiogope mwana. Mie licha ya kujamba huwa na laumiwa kwa kukoroma pia mpaka Mpenzi wangu hugeukia miguuni.
 
Jiachie wewe.....mimi mbona wangu huwa anafurahia sana.
 
Jaribu siku 1 kabla ya kulala nae ule mayai ya kuchemshwa ka manne hivi ushushie na supu ya maharage na nusu lita ya maziwa ya mtindi.Hii itakusaidia sana kutojamba,badala yake kijambo kitatoka kama pumzi tamu kinywani.
 
Wewe lala nae tena mjifunike shuka moja, achia kitu ukimiona anatoa kichwa nje ujue hakupendi lol


..........................na tena unautafuta upaja wake ndo unaachia ki.jampo ili si harufu tu bali na joto kama la stima:love:
 
...........Mtafute jamaa mwingine ili wewe ulale nae mchana kisha jamaa awe analala nae usiku.
 
Mpenzi wako anafahamu fika kwamba wewe ni binadamu hivyo anajua kwamba unafanya vitu vyote ambavyo binadamu wengine hufanya ikiwemo hiyo shughuli. Kama hauko huru kufanya vitu vyako mbele yake basi ni kuondoka tu na kwenda pembeni ukimaliza unarudi kitandani.


 
Kama unamficha mpenzi wako kuwa huwa unajamba, basi utamficha mengi sana!!!! Kwani huoy mpenzi wako unadhani hajui kuwa unajamba?? Vp kuhusu kwenda haja, pia nalo unaogopa?? Ila wewe kiboko aisee!!!!!!!!

hahahahah!!!! Aaaa sana aiseee, duh!!
 
Majembe wamewahi kutembelea kwenye kumi na nane nini?!
 
weka KIJAMBIO kwenye MUTE au VIBRATION
 
sasa unapojiepusha kulala nae., walala wapi?
 
Mimi wa kwangu hata kunya huwa namnyea,we lako sio tatizo,kwani yeye huwa haendi chooni'?
 
kama hilo dogo unataka kulificha kwake. Je ungekua unajikojolea ingekuaje ile n hewa chafu tu wala usiogope. Kama kwel anakupenda awezi kukuacha kisa kujamba. Sa utakataa paka lini
 
Mi najamba kinoma tena viyusufu ndo balaa! Mpaka mwenzangu huwa anantania sana had kuniita yusuf!
 
..........................na tena unautafuta upaja wake ndo unaachia ki.jampo ili si harufu tu bali na joto kama la stima:love:


Hahahah kupeana joto ndo mpango mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…