Siko Free nashindwa kulala na Mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa kujamba.

itakuwa wewe sharobaro ulimdanganya mtoto wawatu kuwa hunyi wala hujambi
 
Duh nimecheka sana..... Anatoa kichwa nje ya shuka kama Kobe

Thanx JF members. Kwa kweli sijapata cheka kwa takriba siku 5 hivi. Salute kwa uwepo wenu na nimecheka sana kwa uzi huu wa vijampo. Wa kwangu anatoa vile vya kimya kimya na vinanuka ile baya na ni lazima utatoa kichwa nje hata ufanyeje na ninaona ni bora ya sauti ya mabomu.
 
yani nmecheka hd machozi yamenitoka....kweli jf is never borin

Pamoja uhuru wa kupumua pia hitaji la afya kujampa; basi mfikirie mpenzi wako tokana na ukali wa harufu ndani ya shuka kwa kupenyua shuka kidogo na uachie mabomu na kwa yule asiyejitambua usingizini anaruhusiwa kuendelea na hayo mabomu ya maangamizi ya mfumo wa upumuaji. Kwetu tuna usemi usemao "hauongi mpaka ushue"
 
mkuu umejuaje ukilala huwa unajamba, unafanya makusudi wewe au unajirekodigi unafunga kidaka sauti makalioni
 
mkuu umejuaje ukilala huwa unajamba, unafanya makusudi wewe au unajirekodigi unafunga kidaka sauti makalioni

Hii mupya kwakweli.... Piga mlipuko record sauti yake kisha weka mulio ya simu inapoita. So funny....
 
Dah...jf bana....rahaa sana hehehe
Sorry,we ni me/ke!?
 
usiku mwingine tena, nimecheka kwanguvu kama mchawi, after reading huu uzi
 

Subirini muda wa ndoa kwenu haujawadia!
 
heb weka soundclip ya kijambo mkuu tujue ukali wa tatizo lako
 
Mi nahisi hiyo sound clip Yale itakuwa kama ile ya radio Tanzania miaka hiyo .pindi inapotimu SAA mbili usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…