PreGE2025 Sikonge, Tabora: Aliyekuwa muweka hazina CHADEMA ahamia CCM

PreGE2025 Sikonge, Tabora: Aliyekuwa muweka hazina CHADEMA ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Aliyekuwa Mweka hazina wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoa wa Tabora, Bi. Lidya Mashaka amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuikabidhi kadi ya Chadema kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM – Bara, Stephen Wasira wakati alipowasili wilayani hapo kwa ajili ya kukagua uhai wa Chama hicho na Jumuiya zake.
 
Sio jipya, alitoka Katibu mkuu, wabunge, mgombea urais itakua mashaka ndio iwe habari? Uhuru wake tu katumia...
 
Back
Top Bottom