Mimi nilicheka yale mashindano ya Baseball yaliyoisha juzi. Ujinga ulianza pale "Tanzania yapongezwa kutinga robo fainali michuano ya Baseball Africa" kuja kufuatilia kumbe ilitinga robo fainali baada ya Egypt kutokuleta timu,kwa kuwa kwenye group moja walikuwa 3 yaani Tz,Kenya na Egypt so tukapita,ikabidi Tz akamilishe ratiba ya kundi kwa kucheza na Kenya akafa 2-0,ikafika zamu ya hiyo robo fainali cha ajabu mpaka leo hii sijayapata matokeo ya hiyo match ya robo fainali.