Siku 100 Za Dr. Hussein Ali Mwinyi madarakani

Siku 100 Za Dr. Hussein Ali Mwinyi madarakani

..Je, Dr.Mwinyi atawarejesha Znz Mashekhe wa Uamsho walioko kifungoni Znz?

..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume ya Ukweli na Maridhiano ili itegua kitendawili cha Waznz waliopotea wakiwa mikononi mwa vyombo vya dola?

..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume huru ya Uchaguzi na kuendesha uchaguzi huru, na wa haki mwaka 2025?
 
Hili la Masheikh wa Uamsho ni Injustice ya hali ya juu sana. Rais Shein atakumbukwa kwa hilo daima

Hayo uliyoandika hapo juu ndio mtihani wa Dr Mwinyi katika kuleta maridhiano
 
..Je, Dr.Mwinyi atawarejesha Znz Mashekhe wa Uamsho walioko kifungoni Znz?

..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume ya Ukweli na Maridhiano ili itegua kitendawili cha Waznz waliopotea wakiwa mikononi mwa vyombo vya dola?

..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume huru ya Uchaguzi na kuendesha uchaguzi huru, na wa haki mwaka 2025?
Yote uliyo yaandika hayato wezekana

Time will tell.
 
..wasiwasi wangu ni kwamba uchaguzi wa 2025 utakuwa mbaya sawa na 2020 au hata kuzidi.
Hakuna kitu hapo wala usihofu...
Upinzani ushajifia ...njaa mbaya...na watu wanaendesha mambo kwa mipango endelevu science ya siasa hiyo!

Na kama unaona mbali ujuwe Tz yote hakuna upinzani wa dhamira wengi ni pandikizi..watengeneza matukio ili wafaidike ...tumeona mengi...
 
..Je, Dr.Mwinyi atawarejesha Znz Mashekhe wa Uamsho walioko kifungoni Znz?

..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume ya Ukweli na Maridhiano ili itegua kitendawili cha Waznz waliopotea wakiwa mikononi mwa vyombo vya dola?

..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume huru ya Uchaguzi na kuendesha uchaguzi huru, na wa haki mwaka 2025?
Hata huku bara mwenzie alianza na sarakasi kibao mara "agundue" mabehewa bandarini, mara bomba la kupitisha mafuta n.k. Lakini hoja ni "tija gani kiuchumi" inapatikana? Mbwembwe haziongezi chochote Hazina.
 
Hakuna kitu hapo wala usihofu...
Upinzani ushajifia ...njaa mbaya...na watu wanaendesha mambo kwa mipango endelevu science ya siasa hiyo!

Na kama unaona mbali ujuwe Tz yote hakuna upinzani wa dhamira wengi ni pandikizi..watengeneza matukio ili wafaidike ...tumeona mengi...

..labda kwa Tanganyika.

..Znz walidhani wameua upinzani kwasababu hakukuwa na uchaguzi toka baada ya Mapinduzi mpaka 1995.

..walipoitisha uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM ikashindwa na CUF.

..Upinzani hauwezi kufa Znz.
 
..Je, Dr.Mwinyi atawarejesha Znz Mashekhe wa Uamsho walioko kifungoni Znz?

..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume ya Ukweli na Maridhiano ili itegua kitendawili cha Waznz waliopotea wakiwa mikononi mwa vyombo vya dola?

..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume huru ya Uchaguzi na kuendesha uchaguzi huru, na wa haki mwaka 2025?
Mzee Said nilipata kusoma mahala kwamba Bakari Harith Mwapachu ametutoka hivi majuzi.Ni kweli habari hizi? Nauliza kwa sababu sijapata kuona Taazia au lolote kumhusu zaidi ya ile dondoo ya kifo.Kunradhi naomba kujua kama kuna ukweli.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
..labda kwa Tanganyika.

..Znz walidhani wameua upinzani kwasababu hakukuwa na uchaguzi toka baada ya Mapinduzi mpaka 1995.

..walipoitisha uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM ikashindwa na CUF.

..Upinzani hauwezi kufa Znz.
Mwinyi has been able to call two sides with differences together, to work with him who is very neutral by any standard. He has never been part of anything in the past. that includes his father.
By his approach I dare say Zanzibar will be a very different place. The problem with Zanzibar has been the two antagonistic parts that dont want to work together.
Wakianza kuendeleza Pemba kama Unguja, hatutawakamata. maana adui yako muombee njaa. Akishiba hutawezana naye
 
Kiukweli Zenj maisha yamekua magumu tangu Mwinyi aingie madarakani. Kodi zimepanda, kumeibuka tozo za ajabu, gharama za utoaji mizigo pia zimepanda.
Tumemmisi Rais Shein, alikua na huruma na wananchi wake, kipindi chake kodi ilikua nafuu alifikia hadi kupunguza kiwango cha VAT kutoka asilimia 18 hadi 15.
Pia miradi mingi aliitekeleza. Sasa hivi mji wote wa unguja na pemba unangara kwa taa za barabarani.

Ombi letu kwa Rais Mwinyi, punguza kodi kwa wananchi wako, halafu mbona mkipiga kampeni hamtaji masuali ya kodi lakini mkipata tu mnapandisha kodi mnakua wakali?
 
Mwinyi has been able to call two sides with differences together, to work with him who is very neutral by any standard. He has never been part of anything in the past. that includes his father.
By his approach I dare say Zanzibar will be a very different place. The problem with Zanzibar has been the two antagonistic parts that dont want to work together.
Wakianza kuendeleza Pemba kama Unguja, hatutawakamata. maana adui yako muombee njaa. Akishiba hutawezana naye
This is a myth! Hussein is an insider and privy within Lumumba cohort.
Dr Mwinyi kwa miaka yote ameshuhudia injustice ya Uamsho, hajasema neno
Leo ni Rais anataka maridhiano akiendeleza injustice ile ile ya Shein dhidi ya Uamsho

Huwezi kuteuliwa na CCM bila kuwa mnafiki.
Mnakumbuka Mzee wake alivyotaka katiba ibadilishwe ilimradi tu mtoto wake apate ulaji.

Kuna matumaini fake huko Zanzibar kuhusu Mwinyi.
Kwa bahati mbaya matumaini fake yamewabeba wengi akiwemo Maalimu. Bila haki hakuna upendo.

Kitu muhimu si namna gani anatabasamu bali anasimamia vipi haki.

Fikisheni Uamsho Mahakamani wapate haki ya kuhukumiwa.
Kwenda jela au kuachiwa huru ni haki yao, Dr Mwinyi kakaa kimya, Wazanzibar wanaamini u-fake wa maridhiano.

JokaKuu Kiranga
 
You want my take? Mr Mwinyi is a good principled man. He is his own man and he will do his own things in his own time as required by the law and what he considers are his priorities. Ni mtoto wa Mwinyi, yes, kwani wewe huna baba? Ni CCM, yes, ndiyo sheria inavyosema. UAMSHO hakuwafunga yeye, wala baba yake, wala Magufuli, walifungwa enzi za Kikwete kwa misingi ya kisheria kadiri alivyoona inafaa. Hawa ni magaidi, treatment yao si ya kawaida. Uamsho tangu amani nao walitoka Pemba huko huko walilipua Ubalozi wa Amerika enzi za George Bush na Ben Mkapa, wako gerezani Guantanamo mpaka leo. Baadaye wamehamia Kibiti Lindi ni Msumbiji, ni nani anataka watu waangwmizwe na magaidi? Mwacheni Rais atekeleze Ilani za Chama chake. CUF na CHADEMA na tundulissu waliahidi kuwa wangewaachia Uamsho mara moja, mbona kura kazikutosha? Jibu ni kwamba Uamsho si priority ya wapigakura hivi sasa, quite to the contrary!
 
You want my take? Mr Mwinyi is a good principled man. He is his own man and he will do his own things in his own time as required by the law and what he considers are his priorities. Ni mtoto wa Mwinyi, yes, kwani wewe huna baba? Ni CCM, yes, ndiyo sheria nIinavyosema. UAMSHO hakuwafunga yeye, wala baba yake, wala Magufuli, walifungwa enzi za Kikwete kwa misingi ya kisheria kadiri alivyoona inafaa. Hawa ni magaidi, treatment yao si ya kawaida. Uamsho tangu amani nao walitoka Pemba huko huko walilipua Ubalozi wa Amerika enzi za George Bush na Ben Mkapa, wako gerezani Guantanamo mpaka leo. Baadaye wamehamia Kibiti Lindi ni Msumbiji, ni nani anataka watu waangwmizwe na magaidi? Mwacheni Rais atekeleze Ilani za Chama chake. CUF na CHADEMA na tundulissu waliahidi kuwa wangewaachia Uamsho mara moja, mbona kura kazikutosha? Jibu ni kwamba Uamsho si priority ya wapigakura hivi sasa, quite to the contrary!
LGF,
Nimesoma jibu lako kuhusu Rais Mwinyi lakini mimi nataka nichangie kwenye suala la ugaidi peke yake.

Mwaka wa 2006 niliwasilisha mada ''Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience: "Islam, Terrorism and African Development.''

Nimeeleza katika mada hiyo kuwa suala lolote nchini petu likihusishwa na Uislam na Waislam tayari patakuwa na matatizo.

Uislam nchini petu ni suala nyeti sana na hili tatizo linakua kila miaka inavyozidi kusonga mbele kwa jinsi Waislam wanavyowekwa nje ya serikali na vyombo vyote vya maamuzi hivyo wao kuwa wachache katika uendeshaji wa nchi.

Hili limewaathiri sana Waislam.

Huu uchache ni katika kila kitu kuanzia nafasi za elimu katika vyuo vikuu hadi ndani ya serikali yenyewe na Bunge.

Uchache huu wa Waislam ndani ya Bunge ndiyo uliwezesha Sheria ya Ugaidi kupita kirahisi.

Kuna walioona kuwa hii ni njia moja ya kuzidi kuudhibiti Uislam nchini.

Vipengele vingi vya sheria hii ni vya uonevu na dhulma kubwa.

Hadi hii leo mahakama Tanzania haijaweza kumtia hatiani mtu yoyote kwa kosa la ugaidi.

Kuhusu hilo suala la Rufiji na Kibiti laiti kesi za watuhumiwa wa ugaidi hao zingekwenda mahakamani tungenufaika na mengi na kubwa ni kule kuwatambua hao ''magaidi'' na kusikiliza utetezi wao kuhusu shutuma hizo.

Uamsho si magaidi na hadi leo mwaka wa nane upande wa mashtaka hawajaweza kuleta mahakamani ushahidi wa tuhuma hii.

Hii nini maana yake?

Maana yake ni kuwa vyombo vya sheria vimekamata kwa ushahidi wa ''hearsay.''

Kwa kukosa ushahidi wa kuwa masheikh hawa ni magaidi ndiyo hadi leo kesi mwaka wa nane haijazungumzwa.

Masheikh wamewekwa rumande kinyume cha sheria.

Hili ndilo alilosema Nguruvi3.
 
Back
Top Bottom